donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
Salaam za wakti kama huu,
Niambie mwana MMU ukiusikia wimbo huu unakumbuka wapi? I know some of y'all mtakumbuka your wedding day (obviously it was a wedding-hit song back in days up to now). Mimi kwa kweli wimbo huu unanikumbusha the first time ever nakutana na miss chagga.........