oooohhh me it so was so romantic i guess i wish i was there!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
congratulations dear brother an i wish you an everlasting love :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2: between you two.Sure..the thing was so scintillating..i wish also you could be there..
Salaam za wakti kama huu,
Niambie mwana MMU ukiusikia wimbo huu unakumbuka wapi? I know some of y'all mtakumbuka your wedding day (obviously it was a wedding-hit song back in days up to know). Mimi kwa kweli wimbo huu unanikumbusha the first time ever nakutana na miss chagga.........
malangali sisi tulikua tunaita puche.Haahaha, mkuu si Ndanda tulikua tunaita Nyali!
pamoja sana mkuuYaani karoho kangu kamefanya mwemweremwemwereee umenikumbusha siku ya harusi yangu. Daaa ahsante mkuu.
ebana nkuu umenifanya ni reminisce flava flani za zamani sanaaDah, nakumbuka graduation ya form6 ndio ulifungua burudani. Wakati huo Sean Paul, na nyimbo kama Mabinti wa kitanga, Jirushe, Friday hii, nk zilikua hot sana.
Baaasi!"Nakupenda weeeeweeee" Dah basi tu!!!!!
donlucchese asante sana ma best friend love u so much much.... have a nice day....
Mtu anataka kuibiwa hadi Miss anasahau kuficha hasira zake kwa Wakaka!
sijasahau zipo pale pale if some one ni mzuri ana kind kwa nini nisimwambie..... we Mlaleo ni mchokozi sana toka huko... nakuchukia wewe sana sana,,,,,
Salaam za wakti kama huu,
Niambie mwana MMU ukiusikia wimbo huu unakumbuka wapi? I know some of y'all mtakumbuka your wedding day (obviously it was a wedding-hit song back in days up to now). Mimi kwa kweli wimbo huu unanikumbusha the first time ever nakutana na miss chagga.........
ha ha ha ha Mlaleo yani umekomaaa aya bwana,.......Nakugongea like kwa kunipa sifa niipendayo ya kuchukiwa... i don't know why napenda kuchukiwa... tukiishi nawe tutaelewana sana... Japo ndio vile tena una historia ya majanga majanga... ila naweza komaa nawe tu...