Nimekuchagua Wewe...!!!

Nimekuchagua Wewe...!!!

Yaani kama ndio nipo na wewe ndani ukiniona yaani ukakunja uso mimi ndio roho yangu kwatu.... muruaaaa.... Aika mae

haika mbe!!!!!!!!!! nitakuchukulia hela niona kama utakuwa muruaaaa
 
Huna haja ya kuchukua niambie tu nakupa nipe tu namba yako nakutumia... Najua mchaga pesa kwanza mimi nitakusumbua ili ukasirike then nakupa ila lazima usumbue nione sura ya kazi... Utajuta kwanini hatukujuana mapema... ila sisi tuna asili ya mapacha unapenda mapacha tuje kuzaa...

Conjoined Twins

i love this song aisee...lazima uwe wimbo wa harusi yangu.....
 
Huna haja ya kuchukua niambie tu nakupa nipe tu namba yako nakutumia... Najua mchaga pesa kwanza mimi nitakusumbua ili ukasirike then nakupa ila lazima usumbue nione sura ya kazi... Utajuta kwanini hatukujuana mapema... ila sisi tuna asili ya mapacha unapenda mapacha tuje kuzaa...

Conjoined Twins

amna tatizo kama uwezo unajiweza na unaweza kunipa mtaji wa kutosha na usiwe unaangaika na mshahara wangu wala wewe tu mi nipo tayari hata ukitaka mara 3..... elimradi tu tuanze kubadilisha majina ya hati za mali zako zote ziwe na jina langu, lako na watoto hapo sawa,,... na hati tukapeleka mahakamani na ukakubali kuandika urithi mapema hapo sawa kabisa tunazaaa tena kwa kupumzika miaka 2... sina maana mbaya ya kuandika urithi ila tu leo ukiondoka watoto wako watishije? na ndugu wanaweza kuingilia kati mali sasa kuepusha hilo ni bora kukabidhi kila kitu sehemu fulani....
 
Hilo mbona halina Shaka... kuhusu mali kukuandikisha wewe... ila yote yatatimia pale utakapo shika Mimba na kuzaa chochote utakachotaka utapata...lakini kama wewe Tasa mbona itakula kwako..... Mali zangu zote nitakumilikisha ikiwemo kisiwa cha Patimo... na Nitakununulia na Bahari
 
me si tasa kabisa,,,, yani we anza tu kuandika document mapema okey!!!
 
Usijari mpenzi je wataka nikuandikishe mali zangu za gharama au za kawaida... maneke zingine sidhani kama utaziweza kuziendesha... kwani zinahitaji kichwa ngumu.... pengine waweza chagua kati ya mali nilizo nazo kwani nitakazo kuandikisha utakuwa responsible kwa lolote sawa!

Hebu anza anza kuaga rafikizo kuwa ushapata mchumba wa kuendana na wewe hivyo utahamia kwangu ambako patakuwa pako
 
sawa kabisa kwa hiyo naamia lini? na kama hizo mali za kichwa ngumu azinihitaji me kuuwa kama hazina hizo mambo andika zote tu amana shida...
 
hahaha hata huogopi? mengine yanatisha hutakiwi kuyafahamu watu wanaishi kimjini mjini sitaki uje upotee kwani nitakupenda sana... me naweza kuambia unataka nini na nini then nakuandikisha...

Kuhamia anytime my dear lov miss chagga we can met anywhere too honey
 
me siogopi.. asante nakupenda pia karibu sana..
 
Make plan basi uje..

Mtambo wa Noti bandia,Container la Pembe za Ndovu na Mtambo wa Kutengeneza Madawa ya kulevya hivyo ndio vitakuwa vya kwanza kukumilikisha... Sawa!
 
amna shida hivi ndo vina hela sana ...
 
Back
Top Bottom