Nimekua kivutio sana kazini

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,559
Reaction score
3,812
Kwanza nilipofika Oral interview wengi walikua wananiangalia sana, they was like hypnotized, nikasema hapa wameisha. mambo yakaenda vyema, sasa kazini wee, kwanza nilipofika, walidhani labda ni high profile person ameenda kukagua au nini.

Uzuri kazi yangu haihusishi kukutana na watu wengi kama wateja, ila sipati picha ni namna gani wangeomba namba. hakika uzuri hauzoeleki, kila mara watu wanakushangaa sana
 
hongera, hata kazi unafanya kwa confidence. ila chunga wasikuzoee kupitiliza !
 
Ukamvutia mpaka mke wangu mpemdwa ambaye nimemuhonga kiwanja cha familia Lamomy
 
U
unavuta bangi ya mbegu au ya majani?
 
This is so Idyllic
 
they was like hypnotized.
they were hyptonized.
Hapo nimejifunza jinsi vidole vinavyoweza kutukosesha uwasilishaji wa fikra katika uandishi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…