Nimekosea Wapi?

Muache aolewe tu maana wanaume sisi waoaji tupo wachache sana asije akaishiwa kuchezewa tu ukiendelea kumkomalia
 
Umenichekesha,kwa ubishi kweli hasa wale wazee wa zamani hua wabishi sanaaa,wengine wana akili huyo kua kwanini muende mbali wakati ni halali huoa mtoto wa baba mdogo au mtoto mama mdogo,ila wengi wanaelimika sasa sababu hua na maradhi ya kwenye familia,angalau ukiolewa njee unaweza kuyaepuka, kuo mtu mwengine zamani ndio walikua na akili huyo lakini mbona wanaoa sikuizi sema wengine bado wanayo ile kasumba lakini wengi wameelimika..
 
Ni upmbavu ambao ushptwa wakat kbsa yaani nimuoe mtoto wa shangaz au mjomba what z au wa ma mdogo au ma mkubw ni ujnga mkubw xn yaan ,,wale c ni ndg wa damu kbsa hvi babu kizaa baba ako na mtoto wa shngaz yko nyie c ni ndg KBS mkienda kwa babu yenu we kizaa baba yko na yye kizaa mama yake c ndg KBS jmn ni niwajukuu wa damu wote jmn,, hyo mdogo wko hta c mbya kuolew na shmej yko coz ukwen kwko xo ndg zko wa damu pmbvu ,mnalhusu ndg kuona halfu ukwen inakua shda
 
Kama wamependana kwa nini wewe uwe kikwazo kwao. Fikiri kama ataamua kubeba mimba je, utazuia? Wewe nani alikuchagulia mchumba kapenda mwenyewe mwache "kipenda roho hula nyama mbichi"
 
Sasa kwa hali yasasa kma shemeji yako katulia na anampenda ww ttzo nini? Acha ujinga, waache waoane wajenge familia, kwanza ndo hupendeza , ataja apate mhuni mjutee
 
Inacoat furaha yake kivip? Yy mwenyewe kasema hataki au ulienda direct kua hupend hiyo ndoa ifanyike? Acha izo kma vip mwache yy aamue usiwe kikwazo

Wenzio wanaweka mpira kati ww wabutua nje
 
Sidhani kama ni sawa nna sababu nyingi sana za kukata,aolewe na mtu mwengine ila sio shemeji yangu hatuwezi kuolewa na familia moja..
Wala sio vizuri yaani hapo kama kuna tabia fulani watoto wana ridhi kila kitu ndiyo maana inatakiwa kuchanganya na ukoo mwingine lakini mwingine mkubwa mwingine mdogo labda huyo binti angekuwa binamu yako lakin wa damu mmm kwamimi hapana
 
Aisee! Hii mpya kabisa. Na Tena inashangaza kuona ndugu wakiowana!!!
 
Sio vizuri kuolewa nyumba moja mtu na ndugu yake wa damu kuna wengine mdogo kaoa hapo naye kaka mkubwa baada ya kuachana na mkewe eti kampenda shemeji wa mdogo wake wakamgomea akaoa sasa kumbe mgonjwa na mdogo wake naye mgonjwa kwahiyo huku wagonjwa mtu na mdogo wake nahuku hivyo hivyo
 
Ooooh okay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…