Nimekosea Wapi?

Nimekosea Wapi?

Sidhani kama ni sawa nna sababu nyingi sana za kukata,aolewe na mtu mwengine ila sio shemeji yangu hatuwezi kuolewa na familia moja..
Cha muhimu ni upendo tu unaweza kushinikiza asiolewe na huyu shemejiyo na akaenda kuolewa na mwingine misukosuko au matatizo yote atakoyopata huko kwenye hiyo ndoa nyingine lawama utapewa wewe .

Kisa kigumu hiki mungu akuongoze kama ni mila au tamaduni zenu kuoana kwa udugu huo usizuie isipokuwa kwa sababu nyinginezo
Mkuu Nampenda sana mdogo wangu,kitu nnacho jivunia anapenda kusoma,na nimuelewa,hii issue nukumuokoa yeye,wapo wa toto kwenye familia wengine wanaumwa ukiuliza sababu ya kuowana ndugu na in reality familia wana gombana hawasemeshani mtu na dadake au mtu na bro wake kisa watoto wewe mwanao unampendelea yani tafran kama hizo
sitaki huyu mdogo wangu a face tafran hizo na mengine ..
 
Cha muhimu ni upendo tu unaweza kushinikiza asiolewe na huyu shemejiyo na akaenda kuolewa na mwingine misukosuko au matatizo yote atakoyopata huko kwenye hiyo ndoa nyingine lawama utapewa wewe .

Cha muhimu ni upendo tu unaweza kushinikiza asiolewe na huyu shemejiyo na akaenda kuolewa na mwingine misukosuko au matatizo yote atakoyopata huko kwenye hiyo ndoa nyingine lawama utapewa wewe .
Mwenyezi Mungu atamuepushia kila baya ampe kheir na furaha Inshallah.
 
Mwache mdogo wako aolewe na mtu amtakaye hata kama umemlea wewe, mambo ya kupangiana yameshapitwa na wakati. Ameshakua mkubwa na yeye ana maamuzi yake.

Huwezi kuikata hiyo cheni ya ndugu kuoana kirahisi..
 
Aiseee kumbe hiz mambo zipo...hatarii san
Uyo mdogo wako amekubali??
Hajakubali wala hajakataa amesema nnachoona mimi sawa yuko tayari nacho,ila hataki kuolewa sasa ivi mpaka amalize Phd yake tunaongelea 2021..
 
Mwache mdogo wako aolewe na mtu amtakaye hata kama umemlea wewe, mambo ya kupangiana yameshapitwa na wakati. Ameshakua mkubwa na yeye ana maamuzi yake.

Huwezi kuikata hiyo cheni ya ndugu kuoana kirahisi..
Nimempa fursa afikirie choice ni yake japo amesema nnachotaka mimindio final...
 
Nimempa fursa afikirie choice ni yake japo amesema nnachotaka mimindio final...

Kwakua wewe ndio mlezi wake na anakusikiliza sana, atafanya unavyotaka ila moyoni mwake atakua na uchungu kama alikua anampenda huyo mpenzi wake.

Pia utaonekana mbaya kwa upande wa ndugu wa shemeji yako!!
 
Kweli kabisa ila sina nia mbaya na mdogo wangu..
 
Duuh this is too hard, lakn kama wenyew wamekubaliana kuoana waache waoane, unatakiwa umwache aamue mwnyw though unaweza kumshaur vile unavohis n vbaya
 
Usikute jamaa alishamgegeda tayari mdogo wako afu wewe unaleta misimamo.Anyway Mmenishangaza sana familia yenu mnavyogegedana hovyo hovyo,yaani mimi na akili zangu hizi nioe mtoto wa mjomba,Shangazi au Mama mkubwa kweliii.

Kwa upande wangu sioni tatizo nyie kuolewa familia moja kwa sababu hakuna undugu kihivyo na sidhani kama watoto wenu watakuja kuoana labda nyinyi ndo mtake.

Tatizo langu ni kwa nini muoane mtoto wa mjomba au Shangazi isiwe tatizo ila kuolewa na ndugu wa mmeo iwe tatizo.U can't be serious

Mkuu kila familia na maadili yake ila mimi nnachokiofia ni baadae watoto wangu na wake kuja kuoana manake itakua mparaganyo, yani mama ndugu baba ndugu sipendi hiyo itoke sijui kama kuna mtu ananielewa kwenye hili,mimi mwenyewe nimekataa kuolewa na mtoto wa mjomba na mjomba alininunia 3-4 good yrs na hata sasa ana cheka tuu ila anasema hakufurahi mimi kuolewa na mtu wa nje...
 
Yaani apo unachofanya unatia petrol kweny moto,

We subiri uwake tu, utasikia mdogo wako ana mimba sijui utajiua ao ni watu wazima awachaguliwi cha kufanya, we wabariki,.. 25 minutes too late
 
Kwanza nikupe pole kwa Unayopitia.
Ivi ni kitu gani kilisababisha mkaamua kuoana ndugu kwa ndugu.? Huo ni mfumo mbaya sana ktk Maisha ya binadamu. Tatizo kubwa mtakalokutana nalo ni uwepo wa Magonjwa Mengi ya kurithi ktk familia zenu. Mtatengeneza familia za Wagonjwa,Dunia ya sasa imebadilika sana na naamini wapo wasomi ktk familia sijui kwanini waruhusu vitu vya namna hii.

Unajua zamani baadhi ya tamaduni walifanya hivi kutokana na uhaba wa watu. Sasa Leo Tz pekee inawatu Million 50 kweli ukose mmoja wa kuoana nae.

Maadam umeamua kulikataa hilo nakushauri ushikilie msimamo wako ili kunusuru familia zenu.

Tafuta reference kutoka kwa madaktari juu ya magonjwa ya kurithi na mengine ambayo tayari yapo kwenye Familia yenu then nenda na nakala uwape kila mmoja ktk kikao cha Familia. Jaribu kuwaelewesha.
Usitumie Nguvu,Tumia nguvu ya Hoja. Hoja tayari unayo.

Lakini naomba kuuliza kidogo nyie ni kabila gani au wahindi....?
 
Kuna kitu nadhani hakipo sawa! Hii tabia wanayo sana watu wa kanda ya ziwa.........
Kwa maisha ya sasa mpaka Sasa hawajagegedana kweli hao?

Halafu ulivyoandika inaonekana mdogo wako anakataa tu kuolewa na huyo Shemeji yako kwasababu tu Wewe umesema ila yeye haoni vibaya kuolewa na huyo Shemeji yako!
Nilitegemea yeye awe wa kwanza kukataa ila inaonekana Wewe Ndio unamshawish akatae........kwanini yeye haoni hilo?
 
...kwa malezi,umri na elimu huyo mdogo wako hajampenda huyo bwashemeji!
..kesi imeisha,
.tuletee wageni gahawa!
hahahah, umenichekesha,jana niliongea na Dada yetu mkubwa anasema i wish angekua na mdomo kama wangu,mwisho akasema haya lete Gahawa na tende mbivu tule sie lol........
 
Katika mambo ya ndoa ni kheri kumuacha mhusika akafanya maamuzi yake mwenyewe na kama mambo yatabadilika huko mbeleni hatapata wa kumlaumu. Maana unaweza fanya maamuzi kwa nia mzuri lakini pindi mambo yakibadilika atakunyooshea kidole.

Ndoa zina changamoto nyingi sana na kwa umri wake 27 sio mtoto wa kutojua zuri na baya so mwache achague analotaka na hilo unalohofia linaweza lisitokee.
 
Kuna kitu nadhani hakipo sawa! Hii tabia wanayo sana watu wa kanda ya ziwa.........
Kwa maisha ya sasa mpaka Sasa hawajagegedana kweli hao?

Halafu ulivyoandika inaonekana mdogo wako anakataa tu kuolewa na huyo Shemeji yako kwasababu tu Wewe umesema ila yeye haoni vibaya kuolewa na huyo Shemeji yako!
Nilitegemea yeye awe wa kwanza kukataa ila inaonekana Wewe Ndio unamshawish akatae........kwanini yeye haoni hilo?
Inawezekana halioni sababu ni normal thing kwenye familia ila mara nyingi sana hua namuelimisha pindi wanapo gombana
hua namwambia unaona ingekua mtu wa nje unajua una solve vipi,mfano mtoto wa Baba mkubwa anampeleka mtoto wa baba mdogo mahakamani kisa anataka amkomoe amkodishie nyumba alipe school fees ya watoto,kwangu naona sio sawa na hao wazee kila mmoja ana vutia kwa mwanawe,mimi nikiwa na issue na mume wangu wanakuja kama nyuki wote wanakua pamoja mpaka sipeleki tena kesi yangu kwao wanamsema mumewangu mpaka namuonea huruma..
sasa staki na yeye awe na akili kama yao na yeye ndio namtegemea sana kwenye malezi ya watoto wangu ndio mana najaribu kumtayarisha Inshallah anielewe..
 
Katika mambo ya ndoa ni kheri kumuacha mhusika akafanya maamuzi yake mwenyewe na kama mambo yatabadilika huko mbeleni hatapata wa kumlaumu. Maana unaweza fanya maamuzi kwa nia mzuri lakini pindi mambo yakibadilika atakunyooshea kidole.

Ndoa zina changamoto nyingi sana na kwa umri wake 27 sio mtoto wa kutojua zuri na baya so mwache achague analotaka na hilo unalohofia linaweza lisitokee.
Ahsante kwa ushauri mkuu,nimempa nafasi juu yakua amesema nnachoona mimi na ndugu wengine wakasema asiolewe aolewe na family yetu kwa wale wanaotaka maslahi yao,nimemwambia afikirie tena mda upo ila hakuna kitu sipendi kama vineno neno au kuekewa vikao..
 
Back
Top Bottom