Pole kwakukuangusha urumrawi,kwenye maisha daima huwezi kumfurahisha mtu daima ipo siku lazima utamuudhi ndio maisha, na nnacho kikataa mimi hata kama ingekua wewe naamini ungetaka pia, mume wangu wanaowana ndugu sisi kwetu the same sasa mimi kujihami sitaki itoke ivi kweli mfano watoto imefika time wanataka kuowana inakua kwa mama ndugu wa damu na kwa baba ndugu wa damu unadhani ni sawa hivyo?
mimi siafiki najua utaniona wa ajabu sana au utasema why familia zenu wamefanya? kwangu mimi nnakua na mtazamo tofauti na wala kama wao wamefanya kosa haimanishi ni mimi nifanye kosa apana,huenda bado hujanielewa lakini mimi nakuelewa wewe ulokua hujanielewa..