Nimekosa mwanaume 'serious'

huyo huyo anatosha kuwa pochi
Inaonekana unajifanyaga matawi ya juu sana sasa ushauri wangu tafuta kijana wa mtaani mpe papuchi akikupa mimba unaachana naye unalea mwanao hiyo ndiyo faraja yako yakudumu achana na wanaume
 
Ungeenjoy sana endapo ungeamua kuish na wanaokupenda na sio unaowapenda maana wanaokupenda wangekusumbua sana mi nkipata dem anaenipenda zaid kuliko mm ntafurah sana maana ntaish nae kwa aman sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom