Nimekosa mwanaume 'serious'

Nimekosa mwanaume 'serious'

hahaaaahhahaaaa...sikuwezi
ha haha haviji kwenye bahasha vinatafutwa .. utakuta huyu ndiye anayesema fuali malaya kumbe hajui unaweza anza mahusiano na nosspass katikakti ya hayo nikakutana na rafiki yake nikasepa kimya kimya ha hahaha maisha ujanja
 
ndo maana nimekwambia sikuwezi,,, kungwi....una mbinu hatari......
 
Bado miaka 5 iwe 40 duuh

Mdada kaza bhana,nashangaa kuna kibint kinazingua na mwaka huu anaingia 31 ..na.wait afike umri kama wako alafu nione.jeur yake..

Kisa mtungi na utheisms,ngoja nipate experience zaid kitaa akifika 35 nimjaze maana kina brain blaa

Anyway
Dada punguza kukataa usio wapenda mkiishi nao utajikuta unawapenda humo humo..japo kuwa wanawake mmeumbwa kupenda na sisi wanaume tumeumbwa kufanya mtupende tuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom