Nimekosa mwanaume 'serious'

Ninaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
Jaribu kumtafuta MWANAJESHI wa CHEO cha chini katika JESHI la wananchi (KURUTA) ...

Mara nyingi huwa na upendo, nidhamu na HASIRA za ghafra.....
Pengine waweza mbebesha hilo zigo la STRESS........nae akakuvumilia...
 
We endelea tu kuchagua na unakaribia menopose subiri upate fibriods ndo utaelewa maana ya kuumbwa ke na me
 
Ukute mtoa mada mwenyewe level zake ni kuolewa na wanaume wa tandale half yeye analenga wanaume wa high class, hlf yy mwenyewe has almost nothing to put on table (sio mrembo wa umbo na sura) hapo lazma shida iwepo

The same thing inatokea kwa ss wanaume lyk wengine wanataka madem wazur high quality wkt wao sura ni kama mugabe hlf mfukoni MTU yupo broke hapo lazma uone dunia inakuelemea

Mm nimejifunza ku-stay in my lane when it comes to aidha finances or relationships, mm sijichoshagi na mademu wa kupatia sifa mtaani, mm na-date demu ambae naweza kum-manage, lyk ataniheshimu, she won't leave and willingly mistreat me no matter what.

Dada yangu ananiambia namwaibisha coz rafiki zake wa kike wanashangaaa mm niki-date na msichana wa aina flani (madai yao ni kuwa wasichana ninaodate nao are below my league, (I.e sio wa hadhi yangu) sasa mm najiuliza walitaka ni-date na nani, nyani auu

Finally unaweza ukaoa/ukaolewa na mwanaume au mwanamke wa ndoto zako or someone who's above ur league but its rare and it depends on ur love luck, nlishaachanaga kitambo kufukuzia madem ambao naona sio level zangu (in terms of physical attractiveness) miss chagga mahondaw mama mtarajiwa
Kudos brother.

Kuna two terms LIGI SOO na LIGI NDOGO. In relationship watu wanashindwa kuzingatia hivi vitu.

Unaweza kukutana na demu mbaya (ligi ndogo)[japo wengi hawaamini kuna binadamu wabaya ila kiuhalisia wapo]halafu ana ndoto za kudate vidume venye vipo ligi soo. Sura hana..umbo hana..family class au status ipo down na vitu kama hivyo. KE wa namna hii atahangaika saana kuhook me wa ligi soo.

Hivyo hivyo kwa mwanaume wa ligi ndogo. Kama ameshajiwekea standards fulani ya kudate manzi ambao wapo ligi soo ilihali yeye ni kapuku..sura mbovu..pesa hana..family status ipo chini kwenye mapenzi atahangaika saana.

Bora ni kuishi kwenye ligi yako. Najua kila mtu hata kwa hisia au kwa kupima kwa macho anajua size yake. Sio me wala ke. Me ukishamwona mwanamke utajua akilini huyu tu atakuwa size yangu na nikimfuata shughuli haitakuwa kubwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom