gatty
Member
- Feb 28, 2014
- 64
- 13
Mwenzenu nimekosa interview ya udom sababu ya kuchelewa kupata information kupitia cm yangu! Sikuwepo hewan kwa kipindi cha siku 3 sababu ya ubovu wa simu yangu na naami wakati wametoa shortlist ya watu simu yangu ndo ilikuwa kwa fundi yaaani Leo hii ndo nimepata information kupitia jukwaa la ajira kuwa shortlist zimetoka na siku yangu ya kufanya interview ilikuwa tareh 8, mmh sina RAHA kabisa nawakat nilikuwa naomba mungu usiku na mchana niite lakin Leo ndo uzembe huu, ndo nimeshakosa tena nafasi sina jinsi!! Jina hilo # 16