Nimekosa interview ya UDOM sababu ya kutokuwa hewani(simu)

Nimekosa interview ya UDOM sababu ya kutokuwa hewani(simu)

Nimechukua namba yako na email siku ingine nitakujuza.
 
wewe ni mzembe mbona mimi sikupigiwa simu ila niliona jina kupitia website za udom...unaishi dunia gani ndugu hata website unashindwa kutembelea....
 
wewe ni mzembe mbona mimi sikupigiwa simu ila niliona jina kupitia website za udom...unaishi dunia gani ndugu hata website unashindwa kutembelea....

Ni vijimambo tu,lakini pia ni njia ya kupunguza ushindani.
 
dont give up!haikua yako jipe moyo,but cku nyngne unaazima hata simu kwa mtu temporary ili uwe hewani
 
Asante kwa ushaur wenu ndugu nashukurun kwa kunitia moyo
 
pole sana but naona pia kuna auzembe fulani hivi kwa nn hata usingeomba japo uwe unaweka chip yako kwa mtu walau hatakwa dk kadhaa, hasa ukizingatia kwamba kuna jambo lilikuwa mbele yako juu ya maswala ya ajira, three days off of air na huku unajuwa kabisa kuitwa/ kuwa short listed kwa siku hizi ni kazi mno but all in all it has happened next time please find an alternative to ensure atleast ur in air even for some few minutes
 
Hata na hvyo interview unaitwa siku 2 kabla afu zinafanyika jumapili.,cjawah ona hii kitu!!
 
Ucjal kila mtu anarizk yake mtu wng. Ndo mana cku zpo tofauti j3-jpil. Xo never lose hope, and never give up too.
 
Kama bahati ipo ipo tu. niliwahi kutendewa vibaya na masekretari wa UDOM Kwa kushindwa ku submit document yangu ya TRANSCRIPT niliyowakabidhi after interview. Matokeo yake wenzangu wote wakaitwa kazini baada ya wiki mbili na Mimi sikuitwa na nilipoulizia nikaambiwa siku-submit transcript alhali nilii-print ofisini Kwa Mlacha na kumkabidhi sekretari wa paneli ya interview ili akabidhi Kwa mwenyekiti wa paneli. Nilikata tamaa na kushukuru Mungu Kwa walichonifanyia. Baada ya muda nikapigiwa SIMU toka Open University Kwa ajili ya interview wakati huo Nikiwa mkoani na nilikuwa safarini toka Tarime kwenda Musoma (ku-submit application ya UDSM), simu iliita Mara mbili na sikusikia Sababu ya muungurumo wa gari. Nilipotoa simu mfukoni na kukuta missed call ya ofisi 022- nikapiga hiyo namba na aliyepokea akaanza Chenga Chenga Mara ngoja ntakuunganisha na fulani ndo aliyekupigia blaa blaaaaa nyingi. Finally sikupata response yoyote. Mungu si Athumani baada ya miezi kadhaa mmoja wa directors wa centre za OUT akaenda Dar na kufuatilia issue yangu na kuniambia kuna mtu aliingizwa kinyemela kwenye orodha na Mimi jina langu lilikuwepo Nikiwa targeted kupelekwa kituo cha Mwanza.

Ninapokupa experience hii nikujulishe tu kuwa baada ya muda fulani nilipokea miito ya ajira toka UDSM (main campus), DUCE, MUCE, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto na nikabaki njia panda wapi nichague. Kwa sasa niko Kati ya Taasisi hizo hapo juu na nashukuru Mungu Kwa kudhihirisha kuwa ridhiki ya mtu haifungwi, inacheleweshwa tu.
Sali sana na Mungu atajibu maombi yako.
 
hawakupiga simu. walitoa kwenye website yao tuu.

Jamani hebu naomba mnielimishe? Ina maana Wasailiwa hawakufahamishwa zaidi ya kuweka majina yao kwenye website ya UDOM?! Kama ndiyo hivyo kulikuwa na maana gani ya kuandika email addresses na mobile no. kwenye application letter/CV. Kama UDOM walifanya hivyo they can't be serious, basi UDOM kitakuwa CHO.O KIKUU na sio CHUO KIKUU. Just imagine watu kama madereva no offense intended, watakuwa na mda gani wa kutembelea website ya UDOM achilia mbali kufahamu kama ina exist!?
 
UDOM inapotezea watu fedha zao kuna wakati waliita watu nafasi hizo hizo na wakafanya oral interview hawajaitwa mpka leo nashangaa wanawaita watu kufanya interview nafasi zile zile watu walizofanyia watu interview.
Sijui nini kinachoendelea pale UDOM.
 
Back
Top Bottom