Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,367
- Thread starter
- #161
Mbona unalia Lia mie simalaya naumeambiwa ???Yaishe, naona huna cha kuzungumza na mimi, umebaki kua pointless
Wataje hao watu humu
Mbona unalia Lia mie simalaya naumeambiwa ???Yaishe, naona huna cha kuzungumza na mimi, umebaki kua pointless
Nilisema hivyo hivyoKwani ulisemaje???
Jamaa naenjoy sana comment zako 😃 😀 😄 😁Huyo kashashiba moshi hapo jichanganye tu ujibiwe usivyovitaka kujibiwa,
We emu pita kushoto, niwataje wakati umejieleza mwenyewe kua ndio issue zako, emu soma vizuri andiko lako ulivyojipigia PromotionMbona unalia Lia mie simalaya naumeambiwa ???
Wataje hao watu humu
Daah 😃 😀 😄 😁We emu pita kushoto, niwataje wakati umejieleza mwenyewe kua ndio issue zako, emu soma vizuri andiko lako ulivyojipigia Promotion
Wewe mtoto ulikimbiliaga wapi?Unachanganyikiwa na wapiga ramli wa Jf[emoji28]
Kaliwe wewe na kizazi chakotulieni mliw mbona makelele.
Noma na ½Noma sana!
Ukiandika vile ulivyosema nitakusameheNilisema hivyo hivyo
Kwa watu wenye akili hii comment inatosha kujua kama kilicho andikwa hapa ni kweli au si kweliHumu hamna hela jueni tu Hilo mmechoka sana
Nimekwambia huyo kashiba Moshi sasa majibu yake uyaelewe kuendana na hali yake ilivyo au km wewe pua umeshiba Moshi hapo mtaongea lugha moja,Ukiandika vile ulivyosema nitakusamehe
Shida ulizonazo au mlizonazo mnajifanya jf ni sehemu ya kipekee sikia jomba humu watu wanasocilize Sasa kama unakuja na pumba zako simwachi mtu salama isitoshe ukiona upuuzi wako umeshasema basi ujua kuwa Huna hayaKwa watu wenye akili hii comment inatosha kujua kama kilicho andikwa hapa ni kweli au si kweli
tena nyie mnao jifanya wakali ndio tunawataka! Kama hujanasa utanasa tuu tushajua ugonjwa wenu.Kaliwe wewe na kizazi chako
Hio Comment imefunga uzi yaani ni ilibidi iwe Pinned pale juu km Tangazo wajuba waelewe uhalisia wa mamboKwa watu wenye akili hii comment inatosha kujua kama kilicho andikwa hapa ni kweli au si kweli
Siulikuwa unanichamba wewe kuwa mie Malaya sijui unilipe ushakujaga PM ila sijakutangaza ila nyie hata hamnijui mnanitangaza ovyo walahiii .Nimekwambia huyo kashiba Moshi sasa majibu yake uyaelewe kuendana na hali yake ilivyo au km wewe pua umeshiba Moshi hapo mtaongea lugha moja,