Nimekereka Sana na wanaoniona malaya

Nimekereka Sana na wanaoniona malaya

Eti bado mtu ananikera nimekaa zangu nilikuwa na view post mara ikaja unique flower ni mwanamke Malaya Sala ameliwa na malegend wote wa jf k yake IPO kama bwawa so hii Nini ???
Nikama wanaume wahumu ndio mnaambiana haya.

Ukiona watu wanasimuliana ujue wewe mtamu mama, usiwapagawishe hivyo watoto wa wanawake wenzio...

Kama hujawapa hata kiduchu basi wapotezee
 
Eti bado mtu ananikera nimekaa zangu nilikuwa na view post mara ikaja unique flower ni mwanamke Malaya Sala ameliwa na malegend wote wa jf k yake IPO kama bwawa so hii Nini ???
Nikama wanaume wahumu ndio mnaambiana haya.
Hujui kuishi na walimwengu humu kuna watu wana sifa za kijinga yaani mtu hakujui hata unafananaje ila atakutangazia ana kujua na kakukula tayari😬😁😁😁
 
Nakwera nawatu wanaoniona Malaya humu .
Ni hivi mjue Hili xmass nisiku ya kufurahia sio yakukerwa na mtu kaungua zake anastress sana.

Mwanaume ukishaoa wake zaidi ya mmoja sio Suna ni UMalaya .

Sijaomba humu kuolewa by force nimemove on.

So kama. Mtu anadai nimewalala na malegend wa humu ni kwamba watu ndio humu wanaambiana.

Mimi sipendi kuchafuliwa hata kama ID hizi sio za kweli. Hakuna no one na mdepend Kwa lifestyle langu.

Good day.
Yaani povu mapema yote hii🤔🤔😳
 
Eti bado mtu ananikera nimekaa zangu nilikuwa na view post mara ikaja unique flower ni mwanamke Malaya Sala ameliwa na malegend wote wa jf k yake IPO kama bwawa so hii Nini ???
Nikama wanaume wahumu ndio mnaambiana haya.
Pole sana....Jifunze kupuuza.

Kwani wakisema umeliwa na malegend wote ndio utakuwa umeliwa kweli?

Au Nini sijui imekaaje itakuwa hivyo wanavyosema.

Kwenye Jamii zetu watu kama hawa hawakoseni muhimu ni kuwapuuza na kuwaepuka.
 
Back
Top Bottom