Nimekereka Sana na wanaoniona malaya

Nimekereka Sana na wanaoniona malaya

Mi mtu mzima unaposema maujinga Yako jaribu kuangalia je ananini changu mnakuja pm . Halafu mnanisumbua sumbua nikiwakataa mnakuja kuniponda hadharani
 
tena nyie mnao jifanya wakali ndio tunawataka! Kama hujanasa utanasa tuu tushajua ugonjwa wenu.
Tulia we mvulana sio kila Mwanamke anatafuta mpenzi kwenye mitandao ya kijamii yaani huyu niliyenae namsaliti kwa kipi 🤷🏼‍♀️
 
Nitake radhi Unique Flower sijapitisha mkono wangu nikakuchamba naomba upunguze ukali wa maneno kidogo, Astaghafululah mimi tangu lini nimekuchamba wewe?! Yaan shughuli waifanye wengine uje unibebeshe mimi?!
Tuseme hivi natoa screen short zako ulivyokuwa umenifuata pm kudai penzi nikakubwaga mnakuja pm mnajitongozesha halafu mie ndio wakulaumiwa
 
Tuseme hivi natoa screen short zako ulivyokuwa umenifuata pm kudai penzi nikakubwaga mnakuja pm mnajitongozesha halafu mie ndio wakulaumiwa
😂😂😂 Toa kwani unamnufaisha nani au unamfuraisha nani?! How much uta-gain baada ya kufanya hivyo? Na nani alikutongoza mimi hivi unajua kutongozwa wewe?
 
😄😄😄anakupa nini kwamfano Hadi tusimsaidie?Yani wee nichura Kama chura zingine naunalika tuu.hili nizizi lakondoo dume nawewe jike umeingia...unatarajia nini?
Sasa wewe shoga una nini cha kunishawishi kwa mfano acha kwanza uchoko
 
😂😂😂 Toa kwani unamnufaisha nani au unamfuraisha nani?! How much uta-gain baada ya kufanya hivyo? Na nani alikutongoza mimi hivi unajua kutongozwa wewe?
Hunijui vizuri ukiamua kuingia polisi kuwa mmpole
 
Kuna vijitu vinaushenzi ushenzi tu design yaani mtu kachoka Malaya zao wabuza halafu siye tuwe victim wenu hebu kuweni na adabu .
Siye sio hadhi zenu nendeni mwajuma anawasubiria kona ndio saizi zenu
 
😂😂😂 Toa kwani unamnufaisha nani au unamfuraisha nani?! How much uta-gain baada ya kufanya hivyo? Na nani alikutongoza mimi hivi unajua kutongozwa wewe?
Halafu mbona unaumia kwani wewe ni mhusika anayezungumza mtoa mada mwanaume kuanza kuchambana na Wanawake ni dalili ya Uchoko
 
Hunijui vizuri ukiamua kuingia polisi kuwa mmpole
Kukujua kwa lipi?! Nikujue ili iweje zaidi ya kujielezea wewe mwenyewe ulivyo?! Kila mtu ni fake with fake ID so what? makasiriko ya nini?! Umechombezwa na ID fake unasema umetongozwa na ukitongozwa je utasemaje?! So childish grow up now na uache promotion zako
 
Nakwera nawatu wanaoniona Malaya humu .
Ni hivi mjue Hili xmass nisiku ya kufurahia sio yakukerwa na mtu kaungua zake anastress sana.

Mwanaume ukishaoa wake zaidi ya mmoja sio Suna ni UMalaya .

Sijaomba humu kuolewa by force nimemove on.

So kama. Mtu anadai nimewalala na malegend wa humu ni kwamba watu ndio humu wanaambiana.


Mimi sipendi kuchafuliwa hata kama ID hizi sio za kweli. Hakuna no one na mdepend Kwa lifestyle langu.

Good day.
Kama hujaolewa wewe Ni Malaya tu.
 
Halafu mbona unaumia kwani wewe ni mhusika anayezungumza mtoa mada mwanaume kuanza kuchambana na Wanawake ni dalili ya Uchoko
Hivi unakijua unachokiongea wewe au hukijui huyo nilimwambia asizozane na mimi amezidi kunifuata fuata so what wewe unataka nini mnakuja kikundi maana nasikia hua mna umoja wenu?!
 
Kukujua kwa lipi?! Nikujue ili iweje zaidi ya kujielezea wewe mwenyewe ulivyo?! Kila mtu ni fake with fake ID so what? makasiriko ya nini?! Umechombezwa na ID fake unasema umetongozwa na ukitongozwa je utasemaje?! So childish grow up now na uache promotion zako
Atakua Ni frustrated single mother.
Kila mwanamme anayempigia anaambiwa Yuko na mkewe wanainjoi Xmas.
Ukitaka kumtoa singo maza kwenye reli, akikupigia mwambie Niko na waif nimemtoa out.
 
Back
Top Bottom