Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 3,390
- 13,445
We taja bei tu inatosha, kelele nyingi za nini sasaNakwera nawatu wanaoniona Malaya humu .
Ni hivi mjue Hili xmass nisiku ya kufurahia sio yakukerwa na mtu kaungua zake anastress sana.
Mwanaume ukishaoa wake zaidi ya mmoja sio Suna ni UMalaya .
Sijaomba humu kuolewa by force nimemove on.
So kama. Mtu anadai nimewalala na malegend wa humu ni kwamba watu ndio humu wanaambiana.
Mimi sipendi kuchafuliwa hata kama ID hizi sio za kweli. Hakuna no one na mdepend Kwa lifestyle langu.
Good day.