Nimekereka Sana na wanaoniona malaya

Nimekereka Sana na wanaoniona malaya

Ya JF bhana magumu. Eti Unique Flower anawaka kabisa na anonymouses za JF. Mimi jumu sijui hata mtu mmoja naonaga tu mi avatar ila Unique Flower anamuwakia mtu. Ukute ni robot.

The play within an electronical environment of unknown people with anonymous avatar with known stories
Kwi kwi kwi
Wewe haitokuuma??
 
Nakwera nawatu wanaoniona Malaya humu .
Ni hivi mjue Hili xmass nisiku ya kufurahia sio yakukerwa na mtu kaungua zake anastress sana.

Mwanaume ukishaoa wake zaidi ya mmoja sio Suna ni UMalaya .

Sijaomba humu kuolewa by force nimemove on.

So kama. Mtu anadai nimewalala na malegend wa humu ni kwamba watu ndio humu wanaambiana.

Mimi sipendi kuchafuliwa hata kama ID hizi sio za kweli. Hakuna no one na mdepend Kwa lifestyle langu.

Good day.
Unique Flower what's going on here
 
Hujui kuishi na walimwengu humu kuna watu wana sifa za kijinga yaani mtu hakujui hata unafananaje ila atakutakanzia ana kujua na kakukula tayari[emoji51][emoji16][emoji16][emoji16]
Kwani kuliwa wanawake si ndio sifa yenu? Msipoliwa tena mnalalamika. Ukitangazwa umeliwa furahi maana yake una mvuto mpaka uliwe!!
 
Nakwera nawatu wanaoniona Malaya humu .
Ni hivi mjue Hili xmass nisiku ya kufurahia sio yakukerwa na mtu kaungua zake anastress sana.

Mwanaume ukishaoa wake zaidi ya mmoja sio Suna ni UMalaya .

Sijaomba humu kuolewa by force nimemove on.

So kama. Mtu anadai nimewalala na malegend wa humu ni kwamba watu ndio humu wanaambiana.

Mimi sipendi kuchafuliwa hata kama ID hizi sio za kweli. Hakuna no one na mdepend Kwa lifestyle langu.

Good day.
Mwanaume akiona mwamke zaidi ya mmoja sio umalaya maana kawaoa kihalali ila mwanamke ambaye analala na wanaume hovyo hovyo huyo ndio malaya
 
Mungu sio mjinga amekuumba wewe nasio hiyo Sheria zenu .

Sasa nakuambia hivi utaacha wazazi wako na kuambatana na mke wako sio wake so zaidi ya mmoja ni unazini wewe ni mzinifu.
 
Mtu aliguess je nikiguess kuhusu wewe vibaya utajisikiaje??
Kwasababu hatufahamiani siwezi feel chochote, take it easy wewe ndio unajijua mwenyewe kuliko mtu mwingine yeyote yule.

Kama ni lile bandiko usijali kwa sababu maudhui yanaruhusu. Unapoguess inaweza kuwa kweli au si kweli.
 
Nakwera nawatu wanaoniona Malaya humu .
Ni hivi mjue Hili xmass nisiku ya kufurahia sio yakukerwa na mtu kaungua zake anastress sana.

Mwanaume ukishaoa wake zaidi ya mmoja sio Suna ni UMalaya .

Sijaomba humu kuolewa by force nimemove on.

So kama. Mtu anadai nimewalala na malegend wa humu ni kwamba watu ndio humu wanaambiana.

Mimi sipendi kuchafuliwa hata kama ID hizi sio za kweli. Hakuna no one na mdepend Kwa lifestyle langu.

Good day.
Wamekula mbunye Nini wajuba wakasepa wewe mrembo hebu funguka
 
Back
Top Bottom