Vizuri sana....ukome kabisa
Pumbavu kabisa,unaacha wanawake wazuri wa kwenu,tena wana heshima zao unakambilia makabila hata huyajui wala hayakufahamu,eti unataka kuoa huko!
Hivi hii mitoto itakuja kua na akili lini?
Hizo ni laana za wadada wa Kijita ulio wadharau as if wao ni matakataka that are not good enough for you mpaka uende kuoa wengine
Usiniletee upumbavu eti wa "mapenzi"....ooh "tulipendana sana"...na bla bla zingine za kipumbavu,hakuna hicho
Ni jukumu lako kuwapenda wanawake wa kwenu na kuhakikisha they are taken care of,and you commit to them long term in life
SAFI SANA,tena huyo mzee angekaa na bastola getini kwake,ukitokea tu apige risasi ya matako kabisa...mwanaume gani punguani na bure namna hii linakimbia majukumu ya kwao?
Pumbavu kabisa,huna maana....hao wadada wa Kijita na wakuloge kabisa mpumbavu wewe!
Wadada wazuri na wana heshima sana,wamekulea mpumbavu wewe,eti leo unatanua mitako unaenda kuoa watu hata hawataki kukuona kivuli chako,bure kabisa yaani!
Nimechukia sana leo mamaeee