balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,735
- 15,483
Manchester UnitedPole Mkuuu...WATU wamusoma sifa zenu za kukata mapanga...wanawake..na kuwangariba ndio chanzo..
Pole ....Tafuta mwingine
Manchester UnitedPole Mkuuu...WATU wamusoma sifa zenu za kukata mapanga...wanawake..na kuwangariba ndio chanzo..
Pole ....Tafuta mwingine
MulisyaMkeo amekeketwa. Tuanzie hapo kwanza
👺👹Manchester United
.BournemouthManchester United
Unamtia ujinga mwenzako? Mapanga nshaa Ni hatari kwenu. Msiyatumie, badala yake tumieni akili na fedhayego wasu, usingwa atiki okugega omwana weswe!
Mjita hajawai shindwa kufanya jambo dunia hiii
Hiyo ni mali yako mkuu.
Unamtia ujinga mwenzako? Mapanga nshaa Ni hatari kwenu. Msiyatumie, badala yake tumieni akili na fedha
Nimekusoma vyema mkuu wangu, ahsante kwa ushauri wako. NitazingatiaZingatia hili. Ukiona unaingia kwenye mahusiano kwakulazimisha, jua mbeleni utaumia kuliko ukikubali ukweli kwasasa.
Kama binti mwenyeweNanaelekea kuwaelewa ndugu, wanawake wapo wengi sana japo mwanzo utaumia ila utazoea. Kubali kuishi bila yeye kisha anza kumove on. Kingine, usiwabembeleze sana maana wanaweza kukupa masharti magumu kukukomoa na ukikubaliwa utakuwa mtumwa wao. Usipige simu kuomba ukubalike wala nn, kaa kimya mwezi mzima. Na wakipiga simu (hata kama ni binti) waambie umewaelewa. Usilazimishe mahusiano hata kama unampenda sana, unless awe amebeba oksijeni unayovuta.
Mimi ni malaika toyoyoWewe ni Msaghane...
Mjaze upepo mkuu...Hi kitu imeniuma sana wakuu, sikutegemea Karne hi bado kuna ubaguzi wa aina hii.
Iko hivi, nimempata binti wa kibena tumependana na tukakubaliana tuoane, kimbembe ni pale alipowapa taarifa nyumbani kwao kuwa kapata mchumba mjita wa Musoma.
Walivyosikia tu Musoma wakaitisha kikao Cha familia na kukataa katakata kuwa binti yao hawezi olewa Musoma. Sababu zao ni
1. Musoma ni mbali na kwao(Njombe). Ikumbukwe mm na binti wore tunaishi Dar es Salaam
2. Watu wa Musoma ni wakatili sana
Wakuu, kusema kweli kutoka moyoni mwangu nampenda sana huyu binti, sijui nitumie njia gani kupindua meza maana kwa Hali ilivyo yeye binafsi ni Kama anaelekea kuwatii ndugu zake(Yuko dilemma)
Naombeni mnishauri, nifanyeje au nitumie njia gani ili kuweza kumuoa huyu binti.
Ahsanteni.
Zingatia hili. Ukiona unaingia kwenye mahusiano kwakulazimisha, jua mbeleni utaumia kuliko ukikubali ukweli kwasasa.
Kama binti mwenyewe anaelekea kuwaelewa ndugu, wanawake wapo wengi sana japo mwanzo utaumia ila utazoea. Kubali kuishi bila yeye kisha anza kumove on. Kingine, usiwabembeleze sana maana wanaweza kukupa masharti magumu kukukomoa na ukikubaliwa utakuwa mtumwa wao. Usipige simu kuomba ukubalike wala nn, kaa kimya mwezi mzima. Na wakipiga simu (hata kama ni binti) waambie umewaelewa. Usilazimishe mahusiano hata kama unampenda sana, unless awe amebeba oksijeni unayovuta.
Tukushauri halafu baadaye uende kumpiga panga mtoto wa watu.
Ila wajita siyo katili sana kama wakurya eti? Kuna mkurya mmoja alioaga sista angu aisee,kila mara ukienda kwa sista utakuta ana kama kuvimba vimba hiv usoni na vimakovu vya hapa na pale.kwa kuwa wazazi walimkatalia asiolewe huko akawa anawaficha kinachoendelea baadaye akaweka wazi,mbwa alikuwa anamtembezea kipigo hatari
Sio kila mpigaji ni mkurya. Kupiga ni tabia ya mtu.Tukushauri halafu baadaye uende kumpiga panga mtoto wa watu.
Ila wajita siyo katili sana kama wakurya eti? Kuna mkurya mmoja alioaga sista angu aisee,kila mara ukienda kwa sista utakuta ana kama kuvimba vimba hiv usoni na vimakovu vya hapa na pale.kwa kuwa wazazi walimkatalia asiolewe huko akawa anawaficha kinachoendelea baadaye akaweka wazi,mbwa alikuwa anamtembezea kipigo hatari
Pole Mkuuu...WATU wamusoma sifa zenu za kukata mapanga...wanawake..na kuwangariba ndio chanzo..
Pole ....Tafuta mwingine
Mbaya zaidi ni Kabila tu ambalo huwezi badili kamwe....Hi kitu imeniuma sana wakuu, sikutegemea Karne hi bado kuna ubaguzi wa aina hii.
Iko hivi, nimempata binti wa kibena tumependana na tukakubaliana tuoane, kimbembe ni pale alipowapa taarifa nyumbani kwao kuwa kapata mchumba mjita wa Musoma.
Walivyosikia tu Musoma wakaitisha kikao Cha familia na kukataa katakata kuwa binti yao hawezi olewa Musoma. Sababu zao ni
1. Musoma ni mbali na kwao(Njombe). Ikumbukwe mm na binti wore tunaishi Dar es Salaam
2. Watu wa Musoma ni wakatili sana
Wakuu, kusema kweli kutoka moyoni mwangu nampenda sana huyu binti, sijui nitumie njia gani kupindua meza maana kwa Hali ilivyo yeye binafsi ni Kama anaelekea kuwatii ndugu zake(Yuko dilemma)
Naombeni mnishauri, nifanyeje au nitumie njia gani ili kuweza kumuoa huyu binti.
Ahsanteni.
Huu ni unyanyasaji na ubaguzi.Kijana fata ushauri huu na hasa ukizingatia makabila ya kwenu yanasifa za hovyo fanya uwende tu ukaoe kijijini kwenu au kabila lako
Para ya mwisho [emoji3]Zingatia hili. Ukiona unaingia kwenye mahusiano kwakulazimisha, jua mbeleni utaumia kuliko ukikubali ukweli kwasasa.