Nimekataliwa ukweni kisa kabila langu

Nimekataliwa ukweni kisa kabila langu

Niliwahi shuhudia mrembo wa pwani aliolewa na afande kutoka huko kanda maalum alicharazwa na mkanda kwenye mapaja yakawa na vidonda vikubwa akawa kutembea hawezi kulia kila siku.
Jamaa akamkataza asiseme kwao akawa anaugulia nyumbani siku moja alitembelewa na shosti yake alishtuka kumkuta mrembo kaharibiwa vibaya, aliamua kupiga simu kwa mama mzazi wa bidada huyo mama alipofika alimchukua bintiye, jamaa alikuwa job aliporudi hakumkuta mkewe alibwata akapanda gari hadi kwao kufika kule akatoa maneno ya shombo kumbe babake mkwe ni mjeda aliacha kazi mapema sana akawa mjasilia Mali huyo jamaa alifumuliwa kama paka shume akaambiwa hana Mke.
 
Hahahahhahahaha kuna jamaa yangu kaowa mkurya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Juzi kati mke wake kafungua tv kwenye stand ya ukitani kaibamizia chini[emoji23][emoji23]
Star x 32[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niliwahi shuhudia mrembo wa pwani aliolewa na afande kutoka huko kanda maalum alicharazwa na mkanda kwenye mapaja yakawa na vidonda vikubwa akawa kutembea hawezi kulia kila siku.
Jamaa akamkataza asiseme kwao akawa anaugulia nyumbani siku moja alitembelewa na shosti yake alishtuka kumkuta mrembo kaharibiwa vibaya, aliamua kupiga simu kwa mama mzazi wa bidada huyo mama alipofika alimchukua bintiye, jamaa alikuwa job aliporudi hakumkuta mkewe alibwata akapanda gari hadi kwao kufika kule akatoa maneno ya shombo kumbe babake mkwe ni mjeda aliacha kazi mapema sana akawa mjasilia Mali huyo jamaa alifumuliwa kama paka shume akaambiwa hana Mke.
Kama movie vile ...
 
Hahahaa, hiyo tabia yake binafsi.
 
Hi kitu imeniuma sana wakuu, sikutegemea Karne hi bado kuna ubaguzi wa aina hii.

Iko hivi, nimempata binti wa kibena tumependana na tukakubaliana tuoane, kimbembe ni pale alipowapa taarifa nyumbani kwao kuwa kapata mchumba mjita wa Musoma.

Walivyosikia tu Musoma wakaitisha kikao Cha familia na kukataa katakata kuwa binti yao hawezi olewa Musoma. Sababu zao ni
1. Musoma ni mbali na kwao(Njombe). Ikumbukwe mimi na binti wore tunaishi Dar es Salaam
2. Watu wa Musoma ni wakatili sana

Wakuu, kusema kweli kutoka moyoni mwangu nampenda sana huyu binti, sijui nitumie njia gani kupindua meza maana kwa Hali ilivyo yeye binafsi ni Kama anaelekea kuwatii ndugu zake (Yuko dilemma)

Naombeni mnishauri, nifanyeje au nitumie njia gani ili kuweza kumuoa huyu binti.

Ahsanteni.
Mrejesho.

Baada ya ukimya wa wiki km 2 mbili hivi, mnamo trh 13 December nilinyanyua simu na kumpigie mbena wangu ili kujua hatma ya uchumba wetu. Niseme tu ukweli binti yule nilimpenda na kumhitaji kuliko yy alivyonihitaji Mimi na hilo nililijua kbs.

Basi nikampigia anipe angalau neno la matumaini ila bila woga wala wasiwasi wowote akanitamkia kuwa "NIMEAMUA KUWATII WAZAZI WANGU". Hapo sikuwa na cha kusema "Sawa nakutakia maisha mema" nikakata simu.

Tulikaa miezi km 4 hivi bila kuwasiliana, siku moja mwezi Jana (May) kanipigia simu na alikuwa akinilaumu kwa nini simtafuti, nikamjibu sikuwa na cha kumwambia Basi kuanzia hapo akaanza kunipigia mara kwa mara.

Kadri tulivyokuwa tunawasiliana nikagundua hayuko vzr kiuchumi na alinihitaji ili kumsaidia baadhi ya mambo yake. Nilimsaidia yale madogomadogo mengine nilikataa kumsaidia. Baadae akaanza kulalamika kuwa simjali, simpendi, nikamwambia nakusaidia tu rafiki na si vinginevyo. Wakati ule nilijitoa kwakuwa nilijua namhudumia mchumba wangu lkn mwisho wa usiku mkaamua kunibagua.

Binti akasema yuko tayari kuwa na mimi kwa sasa na hatawasikiliza tena ndugu zake, nikamwambia Mimi siko tayari.

Akaniblock FB, Wattsapp na kwenye simu

Mwisho
 
Ahsante kwa mrejesho wa kishujaa!
 
  • Thanks
Reactions: mps

najua ni ngumu, safi sana huo ndo UANAMME, big up mkuu
 
Zingatia hili. Ukiona unaingia kwenye mahusiano kwakulazimisha, jua mbeleni utaumia kuliko ukikubali ukweli kwasasa.

Kama binti mwenyewe anaelekea kuwaelewa ndugu, wanawake wapo wengi sana japo mwanzo utaumia ila utazoea. Kubali kuishi bila yeye kisha anza kumove on. Kingine, usiwabembeleze sana maana wanaweza kukupa masharti magumu kukukomoa na ukikubaliwa utakuwa mtumwa wao. Usipige simu kuomba ukubalike wala nn, kaa kimya mwezi mzima. Na wakipiga simu (hata kama ni binti) waambie umewaelewa. Usilazimishe mahusiano hata kama unampenda sana, unless awe amebeba oksijeni unayovuta.
Bonge la ushauri
 
Mjita =mkulya Wana akili za kukurupuka ,hawafikilii ni vipigo tu kwa wanawake .muache mbena huru
 
Hi kitu imeniuma sana wakuu, sikutegemea Karne hi bado kuna ubaguzi wa aina hii.

Iko hivi, nimempata binti wa kibena tumependana na tukakubaliana tuoane, kimbembe ni pale alipowapa taarifa nyumbani kwao kuwa kapata mchumba mjita wa Musoma.

Walivyosikia tu Musoma wakaitisha kikao Cha familia na kukataa katakata kuwa binti yao hawezi olewa Musoma. Sababu zao ni
1. Musoma ni mbali na kwao(Njombe). Ikumbukwe mimi na binti wore tunaishi Dar es Salaam
2. Watu wa Musoma ni wakatili sana

Wakuu, kusema kweli kutoka moyoni mwangu nampenda sana huyu binti, sijui nitumie njia gani kupindua meza maana kwa Hali ilivyo yeye binafsi ni Kama anaelekea kuwatii ndugu zake (Yuko dilemma)

Naombeni mnishauri, nifanyeje au nitumie njia gani ili kuweza kumuoa huyu binti.

Ahsanteni.
WAPE MAHARI KUBWA
 
Back
Top Bottom