Vipigo,ukatili dhidi ya wanawake Hauna kabila,
Hivi mmesahau ya Ufo Saro,Yule mtangazaji wa ITV,ambaye mume wake(mchaga)alivyowashambulia yeye na mama yake kwa risasi akitaka kuua,na yeye kujiua kwa risasi?
Je Yule muhaya Tena aliyewahi kuwa padre,alivyoua mke wake kwa shoka la kichwa,
Mi nakushauri kaa na huyo mbena wako,mpe maneno,tafuta mtu mzima mmoja,wa kutoka huko ubenani,akaongee na wazee,hili jambo dogo sana.
Ubaguzi kwenye jamii upo sana,
Kuwa muhaya haimaniishi ndio utaweza kuoa binti wa kihaya kutoka familia yoyote,wahaya wanaweza kupinga,Kama wewe unaetaka kuoa ni choka mbaya,sio tajiri,yaani wewe uzaliwe buguruni,usome kayumba,harafu utake binti aliyezaliwa,masaki,wahaya hapa watakupa jamba jamba,hata Kama ni muhaya mwenzao,