Hata kama alikuwa kimeo ndiyo apewe kipigo cha umbwa koko mkuu? hoa Watu wa hovyo mkuu.nadhani wehu pia .kwa sababu vitu wanavyofanyaga sio vya kibinadamuUkiona hivyo sister ako alikuwa kimeo
Wewe ulibahatika mbe,Ila wachaga tumewaoa wa kutosha mbona. Sidhani kama wana shida kiviile. Kuna jamii hata elimu imechelewa ndo wenye hizo mambo
Hahaaa, pesa ya kula ninayo. Labda km wanataka pesa ya kuwatunza familia nzima hiyo ni kweli sina. Lkn binti yao namtimizia mahitaji kwa zaidi ya 90% japo bado sijamuoa.KWA KIFUPI TUU BROO FAMILIA IMEONA HUNA HADHI YA WEWE KUOA NDANI YA FAMILIA YAO
TAFUTA PESA
Haya mjanja wewe, tufanye umeshindaBangi ni wewe uliefunga matako ukasafiri kwenda kutaka kuoa mahali wasipokuhitaji wala kuona kivuli chako...
Hivi decision making skills zako ni za chooni?
Hamna bangi zaidi ya hizo aiseee
Aibu sana,hiyo mpaka vitukuu vyako lazima vijue...babu was a fvcken failure on this planet earth!
Ninyi Wajita na jamii zenu ni watu Waongo, Wafki na Wazandiki mno!!!Umeeleweka
Hayo ni mambo madogo madogo sana mzeeHi kitu imeniuma sana wakuu, sikutegemea Karne hi bado kuna ubaguzi wa aina hii.
Iko hivi, nimempata binti wa kibena tumependana na tukakubaliana tuoane, kimbembe ni pale alipowapa taarifa nyumbani kwao kuwa kapata mchumba mjita wa Musoma.
Walivyosikia tu Musoma wakaitisha kikao Cha familia na kukataa katakata kuwa binti yao hawezi olewa Musoma. Sababu zao ni
1. Musoma ni mbali na kwao(Njombe). Ikumbukwe mm na binti wore tunaishi Dar es Salaam
2. Watu wa Musoma ni wakatili sana
Wakuu, kusema kweli kutoka moyoni mwangu nampenda sana huyu binti, sijui nitumie njia gani kupindua meza maana kwa Hali ilivyo yeye binafsi ni Kama anaelekea kuwatii ndugu zake(Yuko dilemma)
Naombeni mnishauri, nifanyeje au nitumie njia gani ili kuweza kumuoa huyu binti.
Ahsanteni.