Nimekataliwa ukweni kisa kabila langu

Nimekataliwa ukweni kisa kabila langu

mps

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
406
Reaction score
588
Hi kitu imeniuma sana wakuu, sikutegemea Karne hi bado kuna ubaguzi wa aina hii.

Iko hivi, nimempata binti wa kibena tumependana na tukakubaliana tuoane, kimbembe ni pale alipowapa taarifa nyumbani kwao kuwa kapata mchumba mjita wa Musoma.

Walivyosikia tu Musoma wakaitisha kikao Cha familia na kukataa katakata kuwa binti yao hawezi olewa Musoma. Sababu zao ni
1. Musoma ni mbali na kwao(Njombe). Ikumbukwe mimi na binti wore tunaishi Dar es Salaam
2. Watu wa Musoma ni wakatili sana

Wakuu, kusema kweli kutoka moyoni mwangu nampenda sana huyu binti, sijui nitumie njia gani kupindua meza maana kwa Hali ilivyo yeye binafsi ni Kama anaelekea kuwatii ndugu zake (Yuko dilemma)

Naombeni mnishauri, nifanyeje au nitumie njia gani ili kuweza kumuoa huyu binti.

Ahsanteni.
 
Tukushauri halafu baadaye uende kumpiga panga mtoto wa watu.

Ila wajita siyo katili sana kama wakurya eti? Kuna mkurya mmoja alioaga sista angu aisee,kila mara ukienda kwa sista utakuta ana kama kuvimba vimba hiv usoni na vimakovu vya hapa na pale.kwa kuwa wazazi walimkatalia asiolewe huko akawa anawaficha kinachoendelea baadaye akaweka wazi,mbwa alikuwa anamtembezea kipigo hatari
 
yeye binafsi ni Kama anaelekea kuwatii ndugu zake(Yuko dilemma)

Zingatia hili. Ukiona unaingia kwenye mahusiano kwakulazimisha, jua mbeleni utaumia kuliko ukikubali ukweli kwasasa.

Kama binti mwenyewe anaelekea kuwaelewa ndugu, wanawake wapo wengi sana japo mwanzo utaumia ila utazoea. Kubali kuishi bila yeye kisha anza kumove on. Kingine, usiwabembeleze sana maana wanaweza kukupa masharti magumu kukukomoa na ukikubaliwa utakuwa mtumwa wao. Usipige simu kuomba ukubalike wala nn, kaa kimya mwezi mzima. Na wakipiga simu (hata kama ni binti) waambie umewaelewa. Usilazimishe mahusiano hata kama unampenda sana, unless awe amebeba oksijeni unayovuta.
 
Tukushauri halafu baadaye uende kumpiga panga mtoto wa watu.

Ila wajita siyo katili sana kama wakurya eti? Kuna mkurya mmoja alioaga sista angu aisee,kila mara ukienda kwa sista utakuta ana kama kuvimba vimba hiv usoni na vimakovu vya hapa na pale.kwa kuwa wazazi walimkatalia asiolewe huko akawa anawaficha kinachoendelea baadaye akaweka wazi,mbwa alikuwa anamtembezea kipigo hatari
Ni kwwli usemayo mkuu. Tunachanja sana. Wajita wametuzidi uchawi na umbea, wanaongea hao. Ukigombana na mke/mume mjita utafikiri umeweka flash disk ya 2TB iliyojazwa taarabu za audio.
 
Zingatia hili. Ukiona unaingia kwenye mahusiano kwakulazimisha, jua mbeleni utaumia kuliko ukikubali ukweli kwasasa.

Kama binti mwenyewe anaelekea kuwaelewa ndugu, wanawake wapo wengi sana japo mwanzo utaumia ila utazoea. Kubali kuishi bila yeye kisha anza kumove on. Kingine, usiwabembeleze sana maana wanaweza kukupa masharti magumu kukukomoa na ukikubaliwa utakuwa mtumwa wao. Usipige simu kuomba ukubalike wala nn, kaa kimya mwezi mzima. Na wakipiga simu (hata kama ni binti) waambie umewaelewa. Usilazimishe mahusiano hata kama unampenda sana, unless awe amebeba oksijeni unayovuta.
Umemaliza kila kitu.
 
Hahahahhahahaha kuna jamaa yangu kaowa mkurya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Juzi kati mke wake kafungua tv kwenye stand ya ukitani kaibamizia chini[emoji23][emoji23]
Star x 32[emoji23][emoji23]
 
Ukipata mwanamke aliyekulia mazingira ya Tarime kwenyewe halafu ukawa legelege watasema umepewa limbwata. Wanawake kule wanapenda angalau kila baada ya muda unashtua kidogo, hiyo ni ishara ya upendo.
 
Tukushauri halafu baadaye uende kumpiga panga mtoto wa watu.

Ila wajita siyo katili sana kama wakurya eti? Kuna mkurya mmoja alioaga sista angu aisee,kila mara ukienda kwa sista utakuta ana kama kuvimba vimba hiv usoni na vimakovu vya hapa na pale.kwa kuwa wazazi walimkatalia asiolewe huko akawa anawaficha kinachoendelea baadaye akaweka wazi,mbwa alikuwa anamtembezea kipigo hatari
Jinsi ulivyo malizia ndio nimejikuta nacheka sana....🤣🤣🤣🤣🤣
 
Musoma na Chato ni wakatili Sana, Bora Sumbawanga na Kigoma kwenye mauzauza.
Cyprian Musiba anasema ataua mtu yoyote anayemkosoa yule bwana. Cyprian Musiba Ni wa Musoma.
Yule bwana niwa Chato, matendo yaoe makuu tumeyaona..... Tuko huru lakini sio kivileeeeeee
Bujibuji watu wa huko ni wakarimu kama malaika wa mbinguni.
 
Back
Top Bottom