Nimekataliwa ukweni kisa kabila langu

Nimekataliwa ukweni kisa kabila langu

Ukikua utajua haya mambo, kwa sasa yapo juu ya uwezo wako.
huoni aibu MWANAUME kulilia mtu mke.....wamejaa kibao.....sikiliza wanawake tumeumbiwa sisi watu wa kiume.....nilishamaliza hayo kitambo...ila sikuwa na tabia zako....kwa sasa wajukuu wako njiani..........
 
Akiwa na nia yeye mtaoana tu,mimi yalinitokea kama yako na upande wangu ndio haukutaka mtu wa kabila nje, ila nilisimama kama mwanaume mbeba maono wa familia yangu the rest ndoa ipo na miaka mitatu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes inawezekana ila upande wa mwanamke kunakuwaga kugumu kidogo, si unajua yale maneno wanayotoaga kwamba "nenda yakikushinda utajijua mwenyewe" hapo binti anachanganyikiwa.
 
huoni aibu MWANAUME kulilia mtu mke.....wamejaa kibao.....sikiliza wanawake tumeumbiwa sisi watu wa kiume.....nilishamaliza hayo kitambo...ila sikuwa na tabia zako....kwa sasa wajukuu wako njiani..........
Nisingekataliwa maana yake nisingelia, ningekuwa simpendi sana nisingelia pia au angezingua yeye nisingelia pia.

Ila kwa sasa acha nimlilie kipenzi changu potelea mbali
 
Sure mkuu, wakati binti anajua kbs sina hizo mambo. Miaka 6 toka tujuane sijawhi hata kumpiga kofi
Pole ndio laana zw mababu zetu hizo zinatugharimu mpaka leo.

Wewe usilazimishe wala kulipambania hilo penzi hata kama uwezo unao, wacha binti na familia yake waamue wenyewe
 
Pole ndio laana zw mababu zetu hizo zinatugharimu mpaka leo.
Wewe usilazimishe wala kulipambania hilo penzi hata kama uwezo unao, wacha binti na familia yake waamue
Kabisa mkuu
 
Hi kitu imeniuma sana wakuu, sikutegemea Karne hi bado kuna ubaguzi wa aina hii.

Iko hivi, nimempata binti wa kibena tumependana na tukakubaliana tuoane, kimbembe ni pale alipowapa taarifa nyumbani kwao kuwa kapata mchumba mjita wa Musoma.
Walivyosikia tu Musoma wakaitisha kikao Cha familia na kukataa katakata kuwa binti yao hawezi olewa Musoma. Sababu zao ni
1. Musoma ni mbali na kwao(Njombe). Ikumbukwe mm na binti wore tunaishi Dar es Salaam
2. Watu wa Musoma ni wakatili sana

Wakuu, kusema kweli kutoka moyoni mwangu nampenda sana huyu binti, sijui nitumie njia gani kupindua meza maana kwa Hali ilivyo yeye binafsi ni Kama anaelekea kuwatii ndugu zake(Yuko dilemma)

Naombeni mnishauri, nifanyeje au nitumie njia gani ili kuweza kumuoa huyu binti.

Ahsanteni.
Ni ujinga sana kuanza kubaguana kwa makabila katika karne hii, kimbia mbio braza, tafuta anaekufaa hapo tayari nuksi
 
Pumbafu wewe.....nani kakwambia nani anazungumzia ukabila hapa?

Kuhudumia familia yako kwanza ni ukabila?

Kwanini uwabague wa kwenu uende kwa wengine?

Kwanini usiwape wa familia yako nafasi kwanza,ikishindikana ndio uwape wengine?

Ukabila ni usenge ulioingiziwa kichwani mwako uchukie familia yako mwenyewe wewe mbuzi...

Ubaguzi hauna mwisho,unaoa kabila lolote Tanzania ila nje ya Tanzania huoi?Kwanini upendelee Watanzania pekee yao kwani wao ni wanadamu pekee yao dunia hii?

Wewe ni baguzi kwa level ya mataifa na mimi ni baguzi kwa level makabila tunayotoka,wote wapaguzi halafu upo humu kuninyooshea mimi kidole,wewe hujioni?

Pumbavu wewe hutakiwi,hawakupendi,hawakutaki,deal with it!

Unaenda kuvamia familia wasizokutaka,unaenda kuchafua familia za watu,oa kwenu mwehu wewe!

Wasichana wa Kijita ni the most humble and well disciplined ladies on this earth,ila kwavile wewe ni kichaa umeenda kwa wasiokutaka sasa hivi unalalamikia dunia,bure kabisa!

Wajita wamekukosea nini?

Ndio unakotoka,ndio waliokuelea,ndio mama na dada zako,still umebeba matako yako kuvamia familia za wengine kuomba ukoo?

Hujiamini,hupendi kwenu,hufai wewe.....hujiamini kabisa yaani!
We jamaa mbona unachuki binafsi sana
Hisia zako potofu hazina maana dunia ya leo
 
Hi kitu imeniuma sana wakuu, sikutegemea Karne hi bado kuna ubaguzi wa aina hii.

Iko hivi, nimempata binti wa kibena tumependana na tukakubaliana tuoane, kimbembe ni pale alipowapa taarifa nyumbani kwao kuwa kapata mchumba mjita wa Musoma.
Walivyosikia tu Musoma wakaitisha kikao Cha familia na kukataa katakata kuwa binti yao hawezi olewa Musoma. Sababu zao ni
1. Musoma ni mbali na kwao(Njombe). Ikumbukwe mm na binti wore tunaishi Dar es Salaam
2. Watu wa Musoma ni wakatili sana

Wakuu, kusema kweli kutoka moyoni mwangu nampenda sana huyu binti, sijui nitumie njia gani kupindua meza maana kwa Hali ilivyo yeye binafsi ni Kama anaelekea kuwatii ndugu zake(Yuko dilemma)

Naombeni mnishauri, nifanyeje au nitumie njia gani ili kuweza kumuoa huyu binti.

Ahsanteni.
Sababu hazina mashiko hao wana lao jambo tu
Vp pochi inasoma lakini??
 
Sababu ya kwanza naikubali but ya pili inawahusu wakurya zaidi....ya pili ilitakiwa iwe hivi
"Wajita ni wajuvi, wabishi, wanafki, watu wa kujipendekeza, wabaguzi, wanajiona ni bora zaidi, wambea, wazinzi na wengine wanasema ni wachawi sana (hipo silijui)"
 
Mtie mimba kisha mnaendelea na harusi tena ya bomani. Usisahau mrejesho.
Hi kitu imeniuma sana wakuu, sikutegemea Karne hi bado kuna ubaguzi wa aina hii.

Iko hivi, nimempata binti wa kibena tumependana na tukakubaliana tuoane, kimbembe ni pale alipowapa taarifa nyumbani kwao kuwa kapata mchumba mjita wa Musoma.
Walivyosikia tu Musoma wakaitisha kikao Cha familia na kukataa katakata kuwa binti yao hawezi olewa Musoma. Sababu zao ni
1. Musoma ni mbali na kwao(Njombe). Ikumbukwe mm na binti wore tunaishi Dar es Salaam
2. Watu wa Musoma ni wakatili sana

Wakuu, kusema kweli kutoka moyoni mwangu nampenda sana huyu binti, sijui nitumie njia gani kupindua meza maana kwa Hali ilivyo yeye binafsi ni Kama anaelekea kuwatii ndugu zake(Yuko dilemma)

Naombeni mnishauri, nifanyeje au nitumie njia gani ili kuweza kumuoa huyu binti.

Ahsanteni.
 
Sababu ya kwanza naikubali but ya pili inawahusu wakurya zaidi....ya pili ilitakiwa iwe hivi
"Wajita ni wajuvi, wabishi, wanafki, watu wa kujipendekeza, wabaguzi, wanajiona ni bora zaidi, wambea, wazinzi na wengine wanasema ni wachawi sana
Lkn umbali unazuia nini, huko si tumezaliwa tu kwani lazima tukaishi huko? Sijui hata hofu yao ni nini.
 
Back
Top Bottom