shamimuodd
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,192
- 2,119
Labda hakupendi
Ukiona hivyo sister ako alikuwa kimeoTukushauri halafu baadaye uende kumpiga panga mtoto wa watu.
Ila wajita siyo katili sana kama wakurya eti? Kuna mkurya mmoja alioaga sista angu aisee,kila mara ukienda kwa sista utakuta ana kama kuvimba vimba hiv usoni na vimakovu vya hapa na pale.kwa kuwa wazazi walimkatalia asiolewe huko akawa anawaficha kinachoendelea baadaye akaweka wazi,mbwa alikuwa anamtembezea kipigo hatari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa ulitakaje? Hata mimi nisingekubali wewe uishi au hata kuoa binti yangu....unatoka Mara (Musoma)? Yaani umeacha dada zako kina Lady Jide, Esther Bulaya, Esther Matiko waliozoea kuchapwa na waume zao uende kuishi na kumpiga mtoto wa watu tena toka iringa? Wewe utakuwa na hitilafu tu kichwani, si bure.
Umeshaolewa Mara ngapi huko Musoma?Musoma na Chato ni wakatili Sana, Bora Sumbawanga na Kigoma kwenye mauzauza.
Cyprian Musiba anasema ataua mtu yoyote anayemkosoa yule bwana. Cyprian Musiba Ni wa Musoma.
Yule bwana niwa Chato, matendo yaoe makuu tumeyaona..... Tuko huru lakini sio kivileeeeeee
Pole sana mkuu.Hi kitu imeniuma sana wakuu, sikutegemea Karne hi bado kuna ubaguzi wa aina hii.
Iko hivi, nimempata binti wa kibena tumependana na tukakubaliana tuoane, kimbembe ni pale alipowapa taarifa nyumbani kwao kuwa kapata mchumba mjita wa Musoma.
Walivyosikia tu Musoma wakaitisha kikao Cha familia na kukataa katakata kuwa binti yao hawezi olewa Musoma. Sababu zao ni
1. Musoma ni mbali na kwao(Njombe). Ikumbukwe mm na binti wore tunaishi Dar es Salaam
2. Watu wa Musoma ni wakatili sana
Wakuu, kusema kweli kutoka moyoni mwangu nampenda sana huyu binti, sijui nitumie njia gani kupindua meza maana kwa Hali ilivyo yeye binafsi ni Kama anaelekea kuwatii ndugu zake(Yuko dilemma)
Naombeni mnishauri, nifanyeje au nitumie njia gani ili kuweza kumuoa huyu binti.
Ahsanteni.
Zingatia Sana huo ushauri, yaani ukiona binti anelekea kuwasikiliza wazazi hujue hajakupenda kwa dhati.Nimekusoma vyema mkuu wangu, ahsante kwa ushauri wako. Nitazingatia
Unampenda kweli japo kosa si lale lkn songa mbeleSimuombei mchumba wangu yamkute haya, ila wakati mwingine wazazi/ndugu huharibu muelekeo wa maisha ya watoto wao bila kujua
Kuoana makibila tofauti ni moja ya sababu iliyofanya nchi yetu kuwa hivi ilivyo(bila ukabila). Hayo mawazo yako ni mazuri lkn haya mashiko.Maana yake nini kama wao nao ni wanawake kama hao unajipendekeza nao na wana njaa ya kuolewa kama hao?
Nipe sababu kwanini unamuacha mwanamke who shares origins with you and understands where you from na kwenda kuoa mwanamke mwingine?Usiniletee upumbavu wa "mapenzi mazito",thats nonsense!
Pumbavu wewe,kijima ndio origin yako..Unakimbia kivuli chako mwehu wewe?
Eti kijima....nipe sababu ya kumuacha mwanamke wa kwenu mwenye uanamke sawa na wanawake wengine wote na kwenda kuoa jamii kwanza isiyokutaka na huijui?
Wanawake wa kwenu wamekukosea nini wewe mkimbia kwenu takataka?
Binti na kijana wangu ninawajengea hoja kwamba msichana au mvulana wa kwako anatakiwa apewe priority kwanza,akikosa ndio aende huko asikotakiwa to begin with!
How on earth unaoa wengine,wa kwako waolewe na mawe?
Majitu yanayoacha wanawake wa kwao ni self hating people just like you,hupendi wanawake wa kwenu unaenda kuvamia jamii ambayo you think you want to be like them...
Hupendi kwenu,hupendi wanawake wa kwenu,hupendi where you came from,hupendi how you look,hupendi your kids to look like your ancestors,you just hate who you are!
Oa wanawake wenu,ni wanawake wazuri,ndio maana they made you,leo unajifanya kuvamia jamii who dont even want you,ukosefu wa akili kabisa!
Kunaweza kuwa na ukweli hapa. Maana sidhani Kama mkwanja ungekuwepo wazazi wangekataaKiufupi huna hela...tafuta hela kwanza
Ila wachaga tumewaoa wa kutosha mbona. Sidhani kama wana shida kiviile. Kuna jamii hata elimu imechelewa ndo wenye hizo mamboSidhani kama ni huyo mbena tu, wanawake wa Kilimanjaro na wazazi wao ndio kabisa hawataki kuolewa na watu wa Musoma.
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
BangiPumbafu wewe.....nani kakwambia nani anazungumzia ukabila hapa?
Kuhudumia familia yako kwanza ni ukabila?
Kwanini uwabague wa kwenu uende kwa wengine?
Kwanini usiwape wa familia yako nafasi kwanza,ikishindikana ndio uwape wengine?
Ukabila ni usenge ulioingiziwa kichwani mwako uchukie familia yako mwenyewe wewe mbuzi...
Ubaguzi hauna mwisho,unaoa kabila lolote Tanzania ila nje ya Tanzania huoi?Kwanini upendelee Watanzania pekee yao kwani wao ni wanadamu pekee yao dunia hii?
Wewe ni baguzi kwa level ya mataifa na mimi ni baguzi kwa level makabila tunayotoka,wote wapaguzi halafu upo humu kuninyooshea mimi kidole,wewe hujioni?
Pumbavu wewe hutakiwi,hawakupendi,hawakutaki,deal with it!
Unaenda kuvamia familia wasizokutaka,unaenda kuchafua familia za watu,oa kwenu mwehu wewe!
Wasichana wa Kijita ni the most humble and well disciplined ladies on this earth,ila kwavile wewe ni kichaa umeenda kwa wasiokutaka sasa hivi unalalamikia dunia,bure kabisa!
Wajita wamekukosea nini?
Ndio unakotoka,ndio waliokuelea,ndio mama na dada zako,still umebeba matako yako kuvamia familia za wengine kuomba ukoo?
Hujiamini,hupendi kwenu,hufai wewe.....hujiamini kabisa yaani!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ni kwwli usemayo mkuu. Tunachanja sana. Wajita wametuzidi uchawi na umbea, wanaongea hao. Ukigombana na mke/mume mjita utafikiri umeweka flash disk ya 2TB iliyojazwa taarabu za audio.
Mawazo mgando hayo, dunia imebadilika
Hi kitu imeniuma sana wakuu, sikutegemea Karne hi bado kuna ubaguzi wa aina hii.
Iko hivi, nimempata binti wa kibena tumependana na tukakubaliana tuoane, kimbembe ni pale alipowapa taarifa nyumbani kwao kuwa kapata mchumba mjita wa Musoma.
Walivyosikia tu Musoma wakaitisha kikao Cha familia na kukataa katakata kuwa binti yao hawezi olewa Musoma. Sababu zao ni
1. Musoma ni mbali na kwao(Njombe). Ikumbukwe mm na binti wore tunaishi Dar es Salaam
2. Watu wa Musoma ni wakatili sana
Wakuu, kusema kweli kutoka moyoni mwangu nampenda sana huyu binti, sijui nitumie njia gani kupindua meza maana kwa Hali ilivyo yeye binafsi ni Kama anaelekea kuwatii ndugu zake(Yuko dilemma)
Naombeni mnishauri, nifanyeje au nitumie njia gani ili kuweza kumuoa huyu binti.
Ahsanteni.