Nimekataa kukiita 'ki ben 10' cha dada yangu shemeji

Nimekataa kukiita 'ki ben 10' cha dada yangu shemeji

Duuuh
Shemeji kama hana hela unatakiwa umwite unae kaa na Dada

[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
basi mwoe dada yako ili uwe shemeji
 
Ili usimwite ondoka kwa dadako
 
Ukitaka kurudi shule jenga urafiki na madam tu hakuna namna saiv issue kulea mengine yamepitwa na wakat wewe mwenyewe najua lazma utakuja hapa kulalamika unapendwa na boss wako wa kike anataka uwe benten
Hahahaaaa yan wewe unakuwaga kama uko kichwan mwangu
 
we ndio mjinga.....maisha ya dada yako unayafatilia ya nini, umetoka likizo nawe unalishwa na yeye then unaanza kumpangia maisha yake....ungekaa nae chini kumuelewesha ila zaidi ya yote ondoka hapo haraka sana
Yeye ndo aondoke mimi siwez ondoka home
 
Tulia ulelewe kwa dada yako na huyo ndo shemeji yako anayemtafuna dada yako kama Nabii Tito
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom