Nimekataa kukiita 'ki ben 10' cha dada yangu shemeji

Nimekataa kukiita 'ki ben 10' cha dada yangu shemeji

Beira Boy bhana, sasa dada yako kampendea mhogo wa jang'ombe sio umri wa milegezo, kuwa mvumilivu tafuta kwao na wewe uwe na amri kwako sio kwenye nyumba ya mtu. Hahahaha this is JF bhana!
Atajua mwenyewe lakin mimi ndo nishamwambia
 
Wewe si ndo ulilalamika kuwa pamoja na kuwa Dada zako wamesoma,wana ajira na maisha mazuri tatizo lao hawaolewi...!

Nadhani walikusikia hivyo wakaamua kukuletea shemeji,tayari ishakuwa huna budi kuwa mnyenyekevu kwa baba mwenye nyumba.
Siwez kuwa mnyenyekevu kias hicho
 
Umri ni namba tu. Kama dada yako anakipata anachokistahili sidhani kama kuna shida hapo.
Hakuna shida lakin mimi siwez kukuita kile kiben ten shemej kinanichafua sana nimekipiga marufuku jana kufika home leo sijakiona
 
Beira Ndugu Yangu Ebu Nipe Namba Ya Dada Ako Nimkanye Kwa Haya Anayayo Yafanya

Ukishindwa Kunipa Mim Jaribu Kumtafuta Bujibuji Uyu Mzee Anabusara Sana Na Hekima

Na Uwakika Anauwezo wa Kusuruisha Uwo Ugomvi
 
Umesema vyema, uko nyumbani kwa dada.. kosa la kwanza, hutakiwi kufika kwa mtu ukawe na amri.. anajua yeye aishi maisha gani.. Kama yamekukera nenda kwenu kabisa ukakae huko ukimaliza shule utatafuta kwako.. By the way, ningekuwa huyo shemeji ningepiga show ya nguvu nihakikishe ile miguno unaisikia ndo utajua anachonipendea dada yako ni nini..Siku mbili tatu lazma uhame hapo
 
Amani iwe nannyi wapendwa katika bwana,

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu,

Baada ya kutoka shule nilikokuwa nasoma sasa niko nyumbani kwa dada lakini nilichokikuta hata siamini macho yangu, nimekuta pale nyumbani kuna kivulana hakina mbele wala nyuma kinalelewa na dada yangu wala hakina kazi yeyote kipuuzi puuzi fulani hivi kishamba shamba kivaa milegezo.

Sasa jana dada anakitambulisha kwangu eti ni kishemeji changu, nikamwambia ebu rudia tena unasema huyu ni nani kwangu, akasema huyu ni shemeji yako.

Nilifura kwa hasira sana nikamwambia unasema kwamba hiki kivulana ni kishemeji changu? Mimi sio mpuuzi kiasi hicho huyu hawezi kuwa shemeji yangu hata siku moja na sitokaa nimuite shemeji yangu na leo ndo iwe mara ya mwisho kumuona hapa home la sivyo tutalaumiana.

Nimempigia simu dada yangu mkubwa nikamwambia dada ananilazimisha nikiite kivulana chake kishemeji changu nimemwambia sifanyagi upuuzi kama huo. Mimi sio mpuuzi wa kukiita hicho 'kiben ten' shemeji huo upuuzi siuwezi hata kwa dawa.

Nimemwambia kama nikiendelea kukiona hapa nyumbani basi tutagawana mbao.



LONDON BOY
we ndio mjinga.....maisha ya dada yako unayafatilia ya nini, umetoka likizo nawe unalishwa na yeye then unaanza kumpangia maisha yake....ungekaa nae chini kumuelewesha ila zaidi ya yote ondoka hapo haraka sana
 
Umesema vyema, uko nyumbani kwa dada.. kosa la kwanza, hutakiwi kufika kwa mtu ukawe na amri.. anajua yeye aishi maisha gani.. Kama yamekukera nenda kwenu kabisa ukakae huko ukimaliza shule utatafuta kwako.. By the way, ningekuwa huyo shemeji ningepiga show ya nguvu nihakikishe ile miguno unaisikia ndo utajua anachonipendea dada yako ni nini..Siku mbili tatu lazma uhame hapo
hahahaahahahahahaahhahaha haswaaaaaaa
 
kama mm ningekuwa huyo jamaa usiku wa leo ningemgegeda dada yako sebuleni uone utamu anaoupata....
 
ukute dada yako kakolea mpaka anatoa mambo ya uwani kama dogo janja anavyosifia anapewaga
 
Beira Ndugu Yangu Ebu Nipe Namba Ya Dada Ako Nimkanye Kwa Haya Anayayo Yafanya

Ukishindwa Kunipa Mim Jaribu Kumtafuta Bujibuji Uyu Mzee Anabusara Sana Na Hekima

Na Uwakika Anauwezo wa Kusuruisha Uwo Ugomvi
Hahaaaaaaa huyo bujibuji hawez kusuluhisha maana ana jaziba sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom