Nimekataa kukiita 'ki ben 10' cha dada yangu shemeji

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
24,998
Reaction score
45,074
Amani iwe nannyi wapendwa katika bwana,

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu,

Baada ya kutoka shule nilikokuwa nasoma sasa niko nyumbani kwa dada lakini nilichokikuta hata siamini macho yangu, nimekuta pale nyumbani kuna kivulana hakina mbele wala nyuma kinalelewa na dada yangu wala hakina kazi yeyote kipuuzi puuzi fulani hivi kishamba shamba kivaa milegezo.

Sasa jana dada anakitambulisha kwangu eti ni kishemeji changu, nikamwambia ebu rudia tena unasema huyu ni nani kwangu, akasema huyu ni shemeji yako.

Nilifura kwa hasira sana nikamwambia unasema kwamba hiki kivulana ni kishemeji changu? Mimi sio mpuuzi kiasi hicho huyu hawezi kuwa shemeji yangu hata siku moja na sitokaa nimuite shemeji yangu na leo ndo iwe mara ya mwisho kumuona hapa home la sivyo tutalaumiana.

Nimempigia simu dada yangu mkubwa nikamwambia dada ananilazimisha nikiite kivulana chake kishemeji changu nimemwambia sifanyagi upuuzi kama huo. Mimi sio mpuuzi wa kukiita hicho 'kiben ten' shemeji huo upuuzi siuwezi hata kwa dawa.

Nimemwambia kama nikiendelea kukiona hapa nyumbani basi tutagawana mbao.

LONDON BOY
 
Una stress za kufukuzwa shule na ulivyo mgegeda madam akiamua kwenda kukutambulisha kwa kaka zake na wenyewe wakisema mgawane mbao utafanyaje
Hapana mimi kile kivulana siwez kukiita shemej hata kwa dawa

Ni kivulana kipuuzz puuz tu yule maadam siwez kukubali niende kwao maana hanifai
 
Aman iwe nannyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Baada ya kutoka shule nilikokuwa nasoma sasa niko home kwa sister lakin nilichokikuta hata siamin macho yangu, nimekuta pale home kuna kivulana hakina mbele wala nyuma kinalelewa na dada yangu wala hakina kaz yeyote kipuuz puuz flan hivi kishamba shamba kivaa milegezo

Sasa jana sister anakitambulisha kwangu eti ni kishemeji changu, nikamwambia ebhu rudia tena unasema huyu ni nan kwangu, akasema huyu ni shemeji yako

Nilifura kwa hasira sana nikamwambia unasema kwamba hiki kivulana ni kishemeji changu? Mimi sio mpuuz kias hicho huyu hawez kuwa shemej yangu hata siku moja na sitokaa nimuite shemej yangu na leo ndo iwe mara ya mwisho kumuona hapa home lasivyo tutalaumiana

Nimempigia simu dada yangu mkubwa nikamwambia dada ananilazimisha nikiite kivulana chake kishemej changu nimemwambia sifanyagi upuuz kama huo

Mimi sio mpuuz wa kukiita hicho kibeen ten shemeji huo upuuz siuwez hata kwa dawa

Nimemwambia kama nikiendelea kukiona hapa home bas TUTAGAWANA MBAO

LONDON BOY
wee jamaa unachekesha kweli.usipomwita shemeji kwani unampunguzia nini
 
Amani iwe nannyi wapendwa katika bwana,

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu,

Baada ya kutoka shule nilikokuwa nasoma sasa niko nyumbani kwa dada lakini nilichokikuta hata siamini macho yangu, nimekuta pale nyumbani kuna kivulana hakina mbele wala nyuma kinalelewa na dada yangu wala hakina kazi yeyote kipuuzi puuzi fulani hivi kishamba shamba kivaa milegezo.

Sasa jana dada anakitambulisha kwangu eti ni kishemeji changu, nikamwambia ebu rudia tena unasema huyu ni nani kwangu, akasema huyu ni shemeji yako.

Nilifura kwa hasira sana nikamwambia unasema kwamba hiki kivulana ni kishemeji changu? Mimi sio mpuuzi kiasi hicho huyu hawezi kuwa shemeji yangu hata siku moja na sitokaa nimuite shemeji yangu na leo ndo iwe mara ya mwisho kumuona hapa home la sivyo tutalaumiana.

Nimempigia simu dada yangu mkubwa nikamwambia dada ananilazimisha nikiite kivulana chake kishemeji changu nimemwambia sifanyagi upuuzi kama huo. Mimi sio mpuuzi wa kukiita hicho 'kiben ten' shemeji huo upuuzi siuwezi hata kwa dawa.

Nimemwambia kama nikiendelea kukiona hapa nyumbani basi tutagawana mbao.

LONDON BOY
Beira Boy usinuambie MBITIYAZA ana kibenten.
Mwambie atafute jibaba, wa haja Na asiwe kama lemutuz
 
Wewe si ndo ulilalamika kuwa pamoja na kuwa Dada zako wamesoma,wana ajira na maisha mazuri tatizo lao hawaolewi...!

Nadhani walikusikia hivyo wakaamua kukuletea shemeji,tayari ishakuwa huna budi kuwa mnyenyekevu kwa baba mwenye nyumba.
 
Kama nyumba ni ya familia au kww namna yoyote ile inaihusu familia basi mwambie sister akapangishe nyumba ndio aoe maana inaonekana huyo dadako ndio tatizo sio hoko kabenten
 
Hapana mimi kile kivulana siwez kukiita shemej hata kwa dawa

Ni kivulana kipuuzz puuz tu yule maadam siwez kukubali niende kwao maana hanifai
Ukitaka kurudi shule jenga urafiki na madam tu hakuna namna saiv issue kulea mengine yamepitwa na wakat wewe mwenyewe najua lazma utakuja hapa kulalamika unapendwa na boss wako wa kike anataka uwe benten
 
Amani iwe nannyi wapendwa katika bwana,

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu,

Baada ya kutoka shule nilikokuwa nasoma sasa niko nyumbani kwa dada lakini nilichokikuta hata siamini macho yangu, nimekuta pale nyumbani kuna kivulana hakina mbele wala nyuma kinalelewa na dada yangu wala hakina kazi yeyote kipuuzi puuzi fulani hivi kishamba shamba kivaa milegezo.

Sasa jana dada anakitambulisha kwangu eti ni kishemeji changu, nikamwambia ebu rudia tena unasema huyu ni nani kwangu, akasema huyu ni shemeji yako.

Nilifura kwa hasira sana nikamwambia unasema kwamba hiki kivulana ni kishemeji changu? Mimi sio mpuuzi kiasi hicho huyu hawezi kuwa shemeji yangu hata siku moja na sitokaa nimuite shemeji yangu na leo ndo iwe mara ya mwisho kumuona hapa home la sivyo tutalaumiana.

Nimempigia simu dada yangu mkubwa nikamwambia dada ananilazimisha nikiite kivulana chake kishemeji changu nimemwambia sifanyagi upuuzi kama huo. Mimi sio mpuuzi wa kukiita hicho 'kiben ten' shemeji huo upuuzi siuwezi hata kwa dawa.

Nimemwambia kama nikiendelea kukiona hapa nyumbani basi tutagawana mbao.

LONDON BOY
Unalelewa unajifanya mjuaji, boya wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom