Nimekataa kukiita 'ki ben 10' cha dada yangu shemeji

Amani iwe nannyi wapendwa katika bwana,

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu,

Baada ya kutoka shule nilikokuwa nasoma sasa niko nyumbani kwa dada lakini nilichokikuta hata siamini macho yangu, nimekuta pale nyumbani kuna kivulana hakina mbele wala nyuma kinalelewa na dada yangu wala hakina kazi yeyote kipuuzi puuzi fulani hivi kishamba shamba kivaa milegezo.

Sasa jana dada anakitambulisha kwangu eti ni kishemeji changu, nikamwambia ebu rudia tena unasema huyu ni nani kwangu, akasema huyu ni shemeji yako.

Nilifura kwa hasira sana nikamwambia unasema kwamba hiki kivulana ni kishemeji changu? Mimi sio mpuuzi kiasi hicho huyu hawezi kuwa shemeji yangu hata siku moja na sitokaa nimuite shemeji yangu na leo ndo iwe mara ya mwisho kumuona hapa home la sivyo tutalaumiana.

Nimempigia simu dada yangu mkubwa nikamwambia dada ananilazimisha nikiite kivulana chake kishemeji changu nimemwambia sifanyagi upuuzi kama huo. Mimi sio mpuuzi wa kukiita hicho 'kiben ten' shemeji huo upuuzi siuwezi hata kwa dawa.

Nimemwambia kama nikiendelea kukiona hapa nyumbani basi tutagawana mbao.

LONDON BOY
Mkuu ulikuwa wapi????
Siku nyingi sana
 
Upo kwa Dada Halafu unamwekea masharti!!!??? Ushemeji huutaki, unataka umwite 'babu' ili ujisikie vizuri?????
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],,,,wewe mwite tu shemeji maana ndio ampae raha za dunia dada yako
 
Amani iwe nannyi wapendwa katika bwana,

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu,

Baada ya kutoka shule nilikokuwa nasoma sasa niko nyumbani kwa dada lakini nilichokikuta hata siamini macho yangu, nimekuta pale nyumbani kuna kivulana hakina mbele wala nyuma kinalelewa na dada yangu wala hakina kazi yeyote kipuuzi puuzi fulani hivi kishamba shamba kivaa milegezo.

Sasa jana dada anakitambulisha kwangu eti ni kishemeji changu, nikamwambia ebu rudia tena unasema huyu ni nani kwangu, akasema huyu ni shemeji yako.

Nilifura kwa hasira sana nikamwambia unasema kwamba hiki kivulana ni kishemeji changu? Mimi sio mpuuzi kiasi hicho huyu hawezi kuwa shemeji yangu hata siku moja na sitokaa nimuite shemeji yangu na leo ndo iwe mara ya mwisho kumuona hapa home la sivyo tutalaumiana.

Nimempigia simu dada yangu mkubwa nikamwambia dada ananilazimisha nikiite kivulana chake kishemeji changu nimemwambia sifanyagi upuuzi kama huo. Mimi sio mpuuzi wa kukiita hicho 'kiben ten' shemeji huo upuuzi siuwezi hata kwa dawa.

Nimemwambia kama nikiendelea kukiona hapa nyumbani basi tutagawana mbao.

LONDON BOY
Hapo ni nyumbani kwa dada yako na hicho ki ben 10 ni kishemejio, huna namna. Kama vipi sepa uwaachie uwanja.
 
Wew ni mwanaume? Au mvulana?
 
We jamaa huchoki tu kuandika mada za kitoto toto upuuzi mtupu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom