Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
Aisee huyu mtu anaitaji ushauri
Nimekata tamaa ya kuolewa kabisa kwani niliedhan kuwa ndo mume wangu kanigeuka vibaya sana
umri wangu miaka 28 nimejitunza siku zote nikiamini na kumuomba mungu anipe mme mwema nimekua katika maadili ya kidini nimepoteza wachumba wengi baada ya kutofautiana yote ni baada ya kukataa kufanya mapenz kabla ya ndoa.
mwaka jana nikapata mchumba tukatambulishana kwa wazazi alinionesha mapenz kiukwel mpaka nikashawishika kufanya mapenz kabla ya ndoa ( najutia sana) ikapelekea kupata ujauzito gafla mwenzangu ananiambia anamchumba doct mwenzie .....
kweli nimekata tamaa ya kuolewa kabisa
1. umri unaenda tayar ninakikwazo mtoto wanaume wengi kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kubahitisha. ukizingatia na umri mbaya... cjui inawezekana mungu hakunipangia kuolewa.
( nibaada ya kupotezana kwa mda mrefu na rafik yangu leo tumekutana ndo ananipa story jinsi alivyo katamaa ya kuoelewa)
Ney, jaribu kumumwelewesha rafika yako kuwa Ndoa ilikuwa kila ki2 kwa mwanamke zaman kwa sababu mama zetu hawakupata fursa ya kusoma sana ivo waliona kuolewa ndio heshima, lakin kwa sasa mambo ni tofauti, wanawake tunasona na kutafuta pesa sambamba na wanaume, ikiwa mwanamke ni mtafutaji wa kweli ndoa ni bonas tu ila kama anamashaka na maisha atalazimisha ndoa, mim simshauri kuhangaika kutaka kuolewa haraka kwa sababu ndoa ni ngumu sana, kila wana ndoa kumi ni moja ndio ina amani. ukweli aachane na mambo ya ndoa atulie afanye kazi kwa bidii na kumlea mtoto wake, mambo ya kujambiana kwenye shuka moja aachane nayo, ndoa za sasa ni karaha.
wanatafuta kulala nayo mpaka asubuhi baaaaasikwani kwenye ndoa mnatafuta nn haswa
so offensive sikutegemea kusikia maneno haya kutoka kwa mkongwe wa jf kama wewe Kaka Jambaziinawezekana alikutana na harufu ya panya mdomoni na ya samaki kunako.
hahahahahaaaa!!! wewe jamaaa umenifurahisha sana sasa atakuaje hana mtt akati tayari ilisha tokea??:smile-big::smile-big:dah asinngekuwa na mtoto mie ningeoa
Aisee huyu mtu anaitaji ushauri
Nimekata tamaa ya kuolewa kabisa kwani niliedhan kuwa ndo mume wangu kanigeuka vibaya sana
umri wangu miaka 28 nimejitunza siku zote nikiamini na kumuomba mungu anipe mme mwema nimekua katika maadili ya kidini nimepoteza wachumba wengi baada ya kutofautiana yote ni baada ya kukataa kufanya mapenz kabla ya ndoa.
mwaka jana nikapata mchumba tukatambulishana kwa wazazi alinionesha mapenz kiukwel mpaka nikashawishika kufanya mapenz kabla ya ndoa ( najutia sana) ikapelekea kupata ujauzito gafla mwenzangu ananiambia anamchumba doct mwenzie .....
kweli nimekata tamaa ya kuolewa kabisa
1. umri unaenda tayar ninakikwazo mtoto wanaume wengi kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kubahitisha. ukizingatia na umri mbaya... cjui inawezekana mungu hakunipangia kuolewa.
( nibaada ya kupotezana kwa mda mrefu na rafik yangu leo tumekutana ndo ananipa story jinsi alivyo katamaa ya kuoelewa)
Ney, jaribu kumumwelewesha rafika yako kuwa Ndoa ilikuwa kila ki2 kwa mwanamke zaman kwa sababu mama zetu hawakupata fursa ya kusoma sana ivo waliona kuolewa ndio heshima, lakin kwa sasa mambo ni tofauti, wanawake tunasona na kutafuta pesa sambamba na wanaume, ikiwa mwanamke ni mtafutaji wa kweli ndoa ni bonas tu ila kama anamashaka na maisha atalazimisha ndoa, mim simshauri kuhangaika kutaka kuolewa haraka kwa sababu ndoa ni ngumu sana, kila wana ndoa kumi ni moja ndio ina amani. ukweli aachane na mambo ya ndoa atulie afanye kazi kwa bidii na kumlea mtoto wake, mambo ya kujambiana kwenye shuka moja aachane nayo, ndoa za sasa ni karaha.
Ney, jaribu kumumwelewesha rafika yako kuwa Ndoa ilikuwa kila ki2 kwa mwanamke zaman kwa sababu mama zetu hawakupata fursa ya kusoma sana ivo waliona kuolewa ndio heshima, lakin kwa sasa mambo ni tofauti, wanawake tunasona na kutafuta pesa sambamba na wanaume, ikiwa mwanamke ni mtafutaji wa kweli ndoa ni bonas tu ila kama anamashaka na maisha atalazimisha ndoa, mim simshauri kuhangaika kutaka kuolewa haraka kwa sababu ndoa ni ngumu sana, kila wana ndoa kumi ni moja ndio ina amani. ukweli aachane na mambo ya ndoa atulie afanye kazi kwa bidii na kumlea mtoto wake, mambo ya kujambiana kwenye shuka moja aachane nayo, ndoa za sasa ni karaha.
Wanadai heshima ktk jamii....
usipoolewa huheshimiwi?
so offensive sikutegemea kusikia maneno haya kutoka kwa mkongwe wa jf kama wewe Kaka Jambazi
vipi tena! Mbona umeshusha pumzi.
Aisee huyu mtu anaitaji ushauri
Nimekata tamaa ya kuolewa kabisa kwani niliedhan kuwa ndo mume wangu kanigeuka vibaya sana
umri wangu miaka 28 nimejitunza siku zote nikiamini na kumuomba mungu anipe mme mwema nimekua katika maadili ya kidini nimepoteza wachumba wengi baada ya kutofautiana yote ni baada ya kukataa kufanya mapenz kabla ya ndoa.
mwaka jana nikapata mchumba tukatambulishana kwa wazazi alinionesha mapenz kiukwel mpaka nikashawishika kufanya mapenz kabla ya ndoa ( najutia sana) ikapelekea kupata ujauzito gafla mwenzangu ananiambia anamchumba doct mwenzie .....
kweli nimekata tamaa ya kuolewa kabisa
1. umri unaenda tayar ninakikwazo mtoto wanaume wengi kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kubahitisha. ukizingatia na umri mbaya... cjui inawezekana mungu hakunipangia kuolewa.
( nibaada ya kupotezana kwa mda mrefu na rafik yangu leo tumekutana ndo ananipa story jinsi alivyo katamaa ya kuoelewa)
Ni pm haraka sanaAisee huyu mtu anaitaji ushauri

Akiri mgando sana hizi,kwahiyo unahisi kutokuelewa ndo heshima ama unahisi unaweza kuifanya elimu ikawa mbadala wa ndoa ama unajaribu kujitia ukichaa wakati wewe ni mzima,ama unaasume mamaako aliolewa kwasababu alikosa elimu ama kwa sababu alipata mme wa kumwoa?