Mkuu kumbe bado upo Hai!!! Kuna uzi miaka ka 2/3 ivi nyuma uliandika "sina kazi sina rafiki... " mwishoni ukaandika "....nipo njiani kunywa sumu..."Mkuu bado sikifanikiwa kupata kazi
Hata mimi mwenyewe deaf ila sijakata tamaa kihivyo Nina miaka 30 sijawahi kuwa Hata na mpenzi, japo najitegemea nafanya BiasharaBaraka the current Poleee kaka Na mshukuru Mungu kwa kila jambo Maana kesho yako ni yeye tu aijuaye Kaka nimeacha kusikia Vizuri tangu nikiwa darasa la pili Nimesoma kwa shida sana wakati mwingine unapata adhabu kisa tu hujasikia darasani nimefika mpaka advance tena nimesoma science CBG Kwa changamoto hizihizi ulizo nazo Wewe Mpk Chuo!! Ulishawahi kufika shule ya msingi UHURU pale kunawatoto hawaoni Afu ni viziwi na Bado wanatabasamu tu!!! Mungu anakusudio nawewe
Nitafute 0769199375/0672723147 tuzungumze ndugu yangu!!!
Upo wap,Hata mimi mwenyewe deaf ila sijakata tamaa kihivyo Nina miaka 30 sijawahi kuwa Hata na mpenzi, japo najitegemea nafanya Biashara
Nipo dar naishi kitunda bossUpo wap,
Hata mimi mwenyewe deaf ila sijakata tamaa kihivyo Nina miaka 30 sijawahi kuwa Hata na mpenzi, japo najitegemea nafanya Biashara