Natafuta kazi nje na ndani ya fani ya manunuzi na ugavi

mark haruni

Member
Sep 6, 2023
15
28
Habari wakuu,

Naitwa jamali nina umri wa miaka 30 nipo mwanza, elimu yangu ni degree ya kwanza katika fani ya manunuzi na ugavi pia nina ordinary diploma ya fani hiyo hiyo, ninauzoefu wa mwaka mmoja nilioupata katika taasisi fulani na barua ya uthibitisho pia ninayo.

tupeane mashavu wakuu nipo tayari kufanya hata kazi tofauti na fani yangu niliyoisomea kwani mwanzo pia nilishafanya kazi kweny kampuni fulani ya bima kama mtu wa masoko na pia nilishafanya katika kampuni nyingine inayojihusisha na kuuza vifaa vya (safety)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom