Nimekata tamaa. Sina kazi na sina rafiki

Kwanza uelewe wewe huna matatizo una mawazo tu kwa iyo usitafute matatizo kijana.fata ushauri wa jf nadhani utakusaidia ukiamini.
 
Pole mdogo wangu, kila mtu ana matatizo mpaka ukisimuliwa waweza jikuta we huna tatizo. Haya maisha sio ya kukata tamaa simama na Mungu wako hamna linaloshindikana, una mikono,miguu macho na akili timamu tumia hayo Mungu alokupa kujikwamua mdogo wangu
 
Dah... unataka kujiua kijinga hivyo kwa kunywa sumu...utakufa kwa hasara sana...utaharibu figo, maini, moyo na viungo vingine muhimu...kuna watu wanavihitaji hivyo viungo viwaokoe na kifo... DON'T die for nothing....toa viungo vyako wasaidie wengine

Sometimes you need to be serious man, acha kabisa usicheze na kitu ulemavu hasa wa macho. Unaweza kua mlemavu wa kesho, how auze viungo vyake how??
 
Pole sana ila mbona miaka 23 bado yanki dogo una give up mapema sana kufanikiwa siyo lazima uwe na marafiki au mpenzi wakati mwingine hata wewe mwenyewe unaweza kutoka

Nikiwa na miaka 3 nilikimbiwa na mama
Nikiwa na miaka 8 nikafiwa na mzazi
Miaka 9 nikazamia dasilamu nikahaswa hata kujuta kuzaliwa
Nilianza la kwanza miaka 12 nikiwa dar nilikuwa na moyo wa kupenda shule

Form two nikasimamisha masomo nikiwa na miaka 21 nikakimbiwa na mpenzi kisa sikuwa na hela

Nikifanya biznec badae nikarudi shule form four nikapata div two ya 20
Nikaenda advance level HGE nikapata two Nikaenda chuo kwa mazobe mazobe nikahitimu

Nikakosa kazi nikafikilia umri unakwenda nikarudi kijijini nikafuga ng'ombe na mbuzi wakawa wengi nikauza jumla mil 16
Nikaja dar nikaanza biashara ya usafirishaji hayo tu

Don't give up if ur a man ukiziwi siyo sababu ya kukata tamaa
Nimekupenda bureee, hongera sana!!
 
You are so stupid, mtu yuko devastated halafu we unaleta maskhara ase?
No he is very right! Akijua kuna watu wanavihitaji viungo alivyonavyo na hawajafikiria hata siku moja kujiondoa m sure atafanya kitu. Baraka tatizo lako ni dogo mnoo kila mtu akifunguka matatizo na magumu ya maisha anayopitia, nina uhakika utajiona mwenye bahati sana duniani na utapiga goti kushukuru. Kwanza shukuru unapumua na pili shukuru una hata uwezo wa kuomba ushauri. Jitahidi kusoma comments zote nina uhakika hiyo sumu utamtega panya angalau asiharibu cheti chako. Be strong!
 
Pole sana ila mbona miaka 23 bado yanki dogo una give up mapema sana kufanikiwa siyo lazima uwe na marafiki au mpenzi wakati mwingine hata wewe mwenyewe unaweza kutoka

Nikiwa na miaka 3 nilikimbiwa na mama
Nikiwa na miaka 8 nikafiwa na mzazi
Miaka 9 nikazamia dasilamu nikahaswa hata kujuta kuzaliwa
Nilianza la kwanza miaka 12 nikiwa dar nilikuwa na moyo wa kupenda shule

Form two nikasimamisha masomo nikiwa na miaka 21 nikakimbiwa na mpenzi kisa sikuwa na hela

Nikifanya biznec badae nikarudi shule form four nikapata div two ya 20
Nikaenda advance level HGE nikapata two Nikaenda chuo kwa mazobe mazobe nikahitimu

Nikakosa kazi nikafikilia umri unakwenda nikarudi kijijini nikafuga ng'ombe na mbuzi wakawa wengi nikauza jumla mil 16
Nikaja dar nikaanza biashara ya usafirishaji hayo tu

Don't give up if ur a man ukiziwi siyo sababu ya kukata tamaa
Mkuu si kipindi hichi cha viongozi wenye misimamo mikali ukandamizaji mkuu kwa kipindi kile unaweza hila si miaka hii ya sasa
 
Pole sana kiongozi ila usikate tamaa mateso yakizid ujue neema inakarbia Ndugu na marafiki ndo sisi humu npe contact zako nkutafute tunaweza kubadilishana mawazo.
Mkuu hata nikikupa mawasiliano yangu ni sms tu kupiga au kupigiwa sijawai kuongea na simu tangu nizaliwe ni pm
 
Bado una umri mdogo sana achana na mawazo ya kishetani mdogoangu! furahia maisha na mshkuru mungu kwa kukupa viungo vyako vyote hilo tatizo lako ni la wastani sana kulinganisha na matatzo ya wengine! jichanganye na watu utumie taaluma yako achana na habari zs kutaka ajira na kama unataka kuendelea na masomo shule za wenye tatizo kama lako zipo ila vuta subira hali itulie kwanza, huu ni upepo tu unapita hali itajakua shwari usjali.
Mkuu kwa shule za deaf zipo za ndalichako ningumu sana kuingia nimeshaenda moshi,tanga techno school za private ni ghali akuna mtu mwenye uwezo wa kunipeleka
 
Hii ni siwa na kujikata kidole tu na kujikataa .wenzio hawawezi hata kutembea lakini wanandoto kubwa hawajakata tamaa wewe unatembea na unaujuzi kikubwa bado unaweza kuwasiliana na watu wengi tu kwa maandishi tena ya kawaida ebu jipe moyo bwana maisha yaendelee
 
You are Baraka? Right? Ina maanisha you are blessed!!!
Dah mkuu huu ujumbe wako umenifanya nitokwe na machozi dah nakumbuka kunakipindi nilikuwa nataka kujiunga na chuo flani kozi ya ict ikabidi niitwe kwenye interview face to face nakaanza kuulizwa maswali dah na kwenye form ya maombi niliandika ni deaf
 
Back
Top Bottom