Mzee wa fact
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 247
- 229
Thank brooMwanamke kama ushazaa nae hana ujanja hapo sema anatumia weakness zako kukuzingua. We cha msingi fata mtazamo wako afu then be a man fanya maamizi ya kiume coz ashakusamehe na haya anayofanya after ni kama masimango ivoo
ThnxUlikosea ile siku ulokubali nakukiri kua Mimba ni yako...
Weee ungekana nakukataa katakataaa tena unasema " yeye kama anataka msaada wa maisha aseme lkn sio kutaka kujaribu kuvunja ndoa yangu , na lazima nimchukulie hatua"..
Wanawake wanaishi kwa hisia,..hapo angekuamin then wee kinyume ukaendelea kumtunza mama kijacho wako.Ukatae...ukubali...Mkeo anagongwa nje ...
Cha kufanya... SHERIA NI SHERIA INGAWA NI NGUMU.
*Ukosee usikosee, Usije ruhusu mwanamke akupande kichwan kiasi cha kufanya Nyumba ikoswe amani* hivyo bas ukajikuta wee ni bwegee kwelikweli na utaomba msamahaaa mnoooo hata kwa madogo.
1--Mwambie , Wife miaka kadhaa nyuma nilikosea na nikakuomba msamaha ukanisamehee.
2--Maajab toka hapo maisha yetu ndani yamekua hovyo sana ikionyesha kua hukuwahi nisamehe kwa dhamira safi hatimaye nmekua mtu nsokua na raha miaka mingi, hata akili, mwili kwangu vimedhorota.
3--Naona Hatuna hatima yoyote ya maisha mbelee, kwasababu tumeshindwa kuliweka jambo hili sawa.
4---Hivo mimi mwenyewe nimeamua tu TUACHANE ILI NIOE MWANAMKE MWENGINE ,basi watoto tutaendelea kuwalea.( niamin, akipiga hesabu Umri wake, na keshazaa watoto wawili, utamwona atakavyokua) ..... Hapa akikubali poaaa, unamuacha .
Akikataa ,NAWEWE UNAWEKA MASHARITI YAKO ,MNAENDA SAWASAWA VZURI TU.
Hawa watu ni akili ndo inahitajika kuwaishi.
Sema nn, siku hizi wanaume wapumbavu ndio wabomoao nyumba zao wenyewe .
Nimesoma na kutafakari, acha nikae kimya tyuuuh.Ulikosea ile siku ulokubali nakukiri kua Mimba ni yako...

Hizi fikra na mtazamo ndo vinavofanya ndoa nyingi kuvunjika au kutokua na amani. MmmmmhMwanamke kama ushazaa nae hana ujanja hapo sema anatumia weakness zako kukuzingua. We cha msingi fata mtazamo wako afu then be a man fanya maamizi ya kiume coz ashakusamehe na haya anayofanya after ni kama masimango ivoo
Kwa lugha nyingine, jamaa anamaisha ya tabu miaka mingi zaidi ijayo..Nimesoma na kutafakari, acha nikae kimya tyuuuh.
Ila muhimu ni kuwa mkewe anapata faraja nje, Tiba ya usaliti ni KISASI na haiepukiki.
ππππKuna dhambi ukizitenda hata ukizitubu na kusamehewa ni lazima ziendelee kukutafuna tu. Japo Mfalme Daudi alisamehewa ile dhambi ya kuzini na hatimaye kumuoa Bethsheba baada ya kumuua mumewe, familia yake haikuwa na amani kuanzia wakati huo (incest, kuuana, uzinzi...). Na matatizo yaliendelea hata kwa mwanawe Sulemani (baharia mpaka akavunja rekodi ya wake na michepuko).
Inavyoonekana mkeo alikusamehe lakini aliumia sana na bado yumo katika maumivu na hakuamini tena. Na anavyokuona pengine mwendo wako haujabadilika sana na bado unawasiliana na huyo mwanamke wa nje; na au una michepuko mingine. Wanawake ni wavumilivu sana lakini pia nao ni binadamu na wanaumia sana hasa kama alikuwa anakupenda na kukuamini kabisa kabisa.
Japo hapo juu unapewa ushauri wa kuwa mbabe na mabaharia ningekuwa wewe ningeenda naye waifu pole pole hasa kama bado nampenda. Ningemwonyesha kwa vitendo kuwa bado nampenda na kwamba kosa lililofanyika sitalifanya tena; na kweli lilikuwa kosa. Huu ndiyo muda wa kuwa naye karibu sana na kumwonyesha mapenzi ya kweli. Spend a lot of time with her. Mtoe nje huko hata kama ni kwenda kula mihogo. Jenga imani yake polepole ili akuamini tena. Na kila unapopata nafasi mkiwa faragha mkumbushe kuwa bado unampenda na mhakikishie kuwa hutaki mwanamke mwingine na mtakuwa pamoja mpaka kifo kitakapowatenganisha. Kama bado anakupenda utaona ameanza kubadilika. Msongo wa mawazo alionao kutokana na majeraha ya usaliti utaanza kupungua. Hata ngozi yake usoni itaanza kung'ara na ataanza kutabasamu tena. Hata hasira alizonazo zitapungua. Wanasema time is the best healer na muda si muda majeraha yake yatapona na amani itaanza kurudi nyumbani mwako. Lakini mruhusu apone taratibu na usilazimishe mambo. Hata kama ikitokea majeraha aliyonayo hayaponyeki basi mpe uhuru wa kufanya anachotaka hata kama ni talaka. Ila kama kweli alikuwa anakupenda, akiona juhudi zako za kweli kabisa (siyo maigizo), ataanza kukuelewa tu.
Hata wewe yawezekana tukio hilo limekuathiri pia kisaikolojia japo hujui. Unajilaumu. Una hasira. Unajuta sana nafsini. Basi jisamehe (kama kweli umeamua kuacha hiyo tabia). Kama ni mkristo sali sana. Tubu dhambi hiyo kwa dhati kabisa na amini kuwa Mungu Ameshakusamehe halafu uanze upya. No regrets please. Hapo ndipo hata wewe utaanza kuiona nuru na maisha mapya katika mahusiano yenu hayo.
Wakumbuke hao watoto wenu. Ni muhimu sana muwalee pamoja. Say no to divorce mkuu hasa kama bado unampenda waifu wako. Please fight for your family. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Haya mambo ni magumu sana. Siyo marahisi kama watu wanavyoyachukulia kijuujuu tu. Hujambo lakini?Uaminifu ukishavunjwa ni ngumu kuurejesha..namuelewa mwanamke mwenzangu.
True...sijambo shikamooHaya mambo ni magumu sana. Siyo marahisi kama watu wanavyoyachukulia kijuujuu tu. Hujambo lakini?
Marahabaaa... Naipenda sana salamu hiyo. Uwe unanipa mara kwa mara pulizi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]True...sijambo shikamoo
ππππ Sawa broMarahabaaa... Naipenda sana salamu hiyo. Uwe unanipa mara kwa mara pulizi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Nakubali bonge moja la ushauriUlikosea ile siku ulokubali nakukiri kua Mimba ni yako...
Weee ungekana nakukataa katakataaa tena unasema " yeye kama anataka msaada wa maisha aseme lkn sio kutaka kujaribu kuvunja ndoa yangu , na lazima nimchukulie hatua"..
Wanawake wanaishi kwa hisia,..hapo angekuamin then wee kinyume ukaendelea kumtunza mama kijacho wako.Ukatae...ukubali...Mkeo anagongwa nje ...
Cha kufanya... SHERIA NI SHERIA INGAWA NI NGUMU.
*Ukosee usikosee, Usije ruhusu mwanamke akupande kichwan kiasi cha kufanya Nyumba ikoswe amani* hivyo bas ukajikuta wee ni bwegee kwelikweli na utaomba msamahaaa mnoooo hata kwa madogo.
1--Mwambie , Wife miaka kadhaa nyuma nilikosea na nikakuomba msamaha ukanisamehee.
2--Maajab toka hapo maisha yetu ndani yamekua hovyo sana ikionyesha kua hukuwahi nisamehe kwa dhamira safi hatimaye nmekua mtu nsokua na raha miaka mingi, hata akili, mwili kwangu vimedhorota.
3--Naona Hatuna hatima yoyote ya maisha mbelee, kwasababu tumeshindwa kuliweka jambo hili sawa.
4---Hivo mimi mwenyewe nimeamua tu TUACHANE ILI NIOE MWANAMKE MWENGINE ,basi watoto tutaendelea kuwalea.( niamin, akipiga hesabu Umri wake, na keshazaa watoto wawili, utamwona atakavyokua) ..... Hapa akikubali poaaa, unamuacha .
Akikataa ,NAWEWE UNAWEKA MASHARITI YAKO ,MNAENDA SAWASAWA VZURI TU.
Hawa watu ni akili ndo inahitajika kuwaishi.
Sema nn, siku hizi wanaume wapumbavu ndio wabomoao nyumba zao wenyewe .
Umewaza kama mmNimesoma na kutafakari, acha nikae kimya tyuuuh.