Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,742
- 1,725
- Thread starter
- #101
Weka weka tushuhudie mtanange
Nimekutumia PM angalia sasa
Weka weka tushuhudie mtanange
siku nyengne uwe unajiongeza sio kila trip unabeba masela mkuu.... tena ukiitwa tena ubebe na naniliii....Sikujua kama ningekuta maandhari yanayoashiria maluv.
hata mi naona wewe ni "teamdomozege"Mimi sio team vibamia.
Siku ukikaribishwa Ikulu sijui utasemaje!!!
siku nyengne uwe unajiongeza sio kila trip unabeba masela mkuu.... tena ukiitwa tena ubebe na naniliii....
hata mi naona wewe ni "teamdomozege"
Kuna demu mmoja nilishamuomba namba na sijawahi kumtongoza hata siku moja.
Baada ya kuwasiliana mwanzoni texting and calling baadae akanipotezea (mademu hadi umtxt au umcall yeye).
Nikadelete namba yake, nashangaa siku moja unknown calling kwa simu yangu.
Nikarespond, sikuweza kumfahamu akajitambulisha ila nikafix kuwa simu yangu huwa haioneshi majina kwa namba zinazoanza na 0.... bali +255....
Akakubali na kusema no worry. Kanikarbisha kwake (ni single) nimekuta mazaga zaga mengi. Mayai, soda, maji, chips, kitanda dressed well, amedeki chumba.
Ila nilienda na rafiki yangu na alionekana kutofurahi.
Je alikuwa amejiandaa kwa mgegedo au ndio ukarimu wake?
Hadi leo yupo quiet na mimi sijamtongoza.
ushauri jamani.
ha ha ha..mazuzu mnaongozeka jf
Wanaume wanaisha kwa kasi ya ajabu
Poa mkuu, yaani hapa najuta
hapana ubebe na movie au series nzur ya mazombieHapo nitamalizia ....condom, au sio mkuu?
hadi wanaume limbukeni wapo mshikaji...............we huoni ameona room tu kaja kusifia JF halafu inaonyesha jamaa ni domo zegeUmekaribishwa wewe unabeba na marafiki. Huu ushamba tutaacha lini?? Marafiki mnaongozana kila sehemu. You need to grow up.
hahahaha..!!! Ulipoteleaga wapi mkuu..??atashindwa shika chuchu
Kisha hao marafiki zao huishia kuwapiga kanzu wenzao sababu siku chache baadae, hujipeleka.madem ukiwaita waje geto kama hawatak kupgwa game ndo wanaendaga na marafk zao.....bt wanaume ndo nasikia we we wakwanza mkuu
kaka Matola, njoo umshauri na huyu mdogo wako hapa. Usichoke jamani, ndo wanajifunza
hahahaha..!!! Ulipoteleaga wapi mkuu..??
Umekaribishwa wewe unabeba na marafiki. Huu ushamba tutaacha lini?? Marafiki mnaongozana kila sehemu. You need to grow up.
Unachojuta nini? Umepoteza kazi au pesa?? What if Mungu amekuepusha na ugonjwa.
Dada yangu sasa umenichoka kuchangia thread kama hizi ni kurudisha IQ yako nyuma.