Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
hadi wanaume limbukeni wapo mshikaji...............we huoni ameona room tu kaja kusifia JF halafu inaonyesha jamaa ni domo zege
Kwahyo washikaji zake wakampige tough?
hadi wanaume limbukeni wapo mshikaji...............we huoni ameona room tu kaja kusifia JF halafu inaonyesha jamaa ni domo zege
He is growing down
Kampa hasara dada wa watu....
Kaandaa bajeti ya mmoja wameenda kumi na moja
Tabia hizo wanazo watoto wa kike,sasa mdau ameanza kuzitumia yeye
Sikujua mapema, ningefaham mboba angenikubari tu.
FD,
Exactly! this is going Nungwi type............
Mtoa mada, alijaribu kujustify nguvu ya JM ndani ya CCM na baadaye kudadisi kama anayaona na kama anaweza kuingilia kati suala la umeme PERIOD.
hayo ni maoni ya mtoa mada, na haimaanishi JM kuwa mhusika mkuu hapa na kulaumiwa..........
Well, nilidhani ww Dalali maana ukimuita dalali lazima aje na mwenzake.
My bad, next time usiongozane na mtu unapokaribishwa na mchuchu
Tabia hizo wanazo watoto wa kike,sasa mdau ameanza kuzitumia yeye
Acha kupotosha watu wewe!!!
Mtoto wa kike anapokukaribisha kwake lazima uchukue tahadhari sana maana u don't know who is behind her.
Unaweza kuingia ndani halafu anayelipa kodi anakuja na hujui imaginations zake....
Watu mjini wanaishi kwa dili,unaweza ukaenda kichwa kichwa kumbe watu wanataka kukutengenezea Ugoni mkuu.
Miongoni mwa vitu unavyopaswa kuwa makini navyo ni kupenda kutembelea wadada kwenye makazi yao mkuu.
MIMI NAMPA HONGERA SANA MTOA MAADA KWA KUCHUKUA TAHADHARI.
Umekaribishwa wewe unabeba na marafiki. Huu ushamba tutaacha lini?? Marafiki mnaongozana kila sehemu. You need to grow up.
Acha kupotosha watu wewe!!!
Mtoto wa kike anapokukaribisha kwake lazima uchukue tahadhari sana maana u don't know who is behind her.
Unaweza kuingia ndani halafu anayelipa kodi anakuja na hujui imaginations zake....
Watu mjini wanaishi kwa dili,unaweza ukaenda kichwa kichwa kumbe watu wanataka kukutengenezea Ugoni mkuu.
Miongoni mwa vitu unavyopaswa kuwa makini navyo ni kupenda kutembelea wadada kwenye makazi yao mkuu.
MIMI NAMPA HONGERA SANA MTOA MAADA KWA KUCHUKUA TAHADHARI.
Acha kupotosha watu wewe!!!
Mtoto wa kike anapokukaribisha kwake lazima uchukue tahadhari sana maana u don't know who is behind her.
Unaweza kuingia ndani halafu anayelipa kodi anakuja na hujui imaginations zake....
Watu mjini wanaishi kwa dili,unaweza ukaenda kichwa kichwa kumbe watu wanataka kukutengenezea Ugoni mkuu.
Miongoni mwa vitu unavyopaswa kuwa makini navyo ni kupenda kutembelea wadada kwenye makazi yao mkuu.
MIMI NAMPA HONGERA SANA MTOA MAADA KWA KUCHUKUA TAHADHARI.
Jamiiforum imevamiwa na watoto siku hizi...sio watoto kiumri...lah....bali watoto kiakili