Nimekaribishwa chumbani kwa demu

Nimekaribishwa chumbani kwa demu

madem ukiwaita waje geto kama hawatak kupgwa game ndo wanaendaga na marafk zao.....bt wanaume ndo nasikia we we wakwanza mkuu
 
Huyo labda alitegemea kutongozwa ukashindwa kufanya hivo. Alipata mwingine ambaye hajawa kama alivyomtegemea. Anayekuja kwenye mawazo yake ni wewe ambaye ulishakuwa na ukaribu naye. Ni kawaida wakati mwingine wanawake kuwakumbuka waliowahi kuwafuatilia especially kama mlipotezana bila ugomvi. Na hii inaweza kuwa baada ya kutendwa na aliyekuwa naye au asiyemjali.
 
usiwakurupukie madem wanaoishi wenyew tena waliopanga wengne majanga tu na bora ulivyoenda na rafiki yako.

nyiny ndo mnatuabisha sisi nyny....kama alikuwa ataki ,asingesubutu kuomba namba
 
the same issue kwangu pia kuna dem kapanga ghetto yeyee ni nurse uwa ananikarbishaga kishenzi kwke nae kapanga ghetto nikimpga calendar uwa ananimind kichizii kuna kipind alniropokea kua ananitaka mi kwakua sitak stress nkamwambiaa muda wangu bado nmebanwaa na issues ali mind akanpotezeaaa ila sasa karudiiii tenaa tukichat mpaka sa6 usiku na siku za jumapil anataka tuongozane church wote nipeni ushauriii japo mimi pia nna mpnz ila yuko mwanza kwa sasa nifanyaje na mimi ????????
 
Mgegede tu
 
Kumbe nurse tena,,,, anapata pesa mtoto msafi. Huyo ni wakutumia tu. Na ni bora amekwambia anakutaka kimapenzi. Kama humwamini kiafya condom zipo.
 
Umekaribishwa wewe unabeba na marafiki. Huu ushamba tutaacha lini?? Marafiki mnaongozana kila sehemu. You need to grow up.

As honest as he is....
A good kid...
 
Chips? Mayai ya kisasa?....aisee alikuwa anakuangalia kama ni Mwanaume wa shoka.... toa mtongozo kijana na ujiandae kupay back either in kind or cash
 
kweli IQ za wabongo zinazidi kushuka siku hadi siku yaani jambo Dogo tu mtu anakimbulia jf kuomba ushauri
 
Back
Top Bottom