Nimekaribishwa chumbani kwa demu

Nimekaribishwa chumbani kwa demu

Umekaribishwa wewe unabeba na marafiki. Huu ushamba tutaacha lini?? Marafiki mnaongozana kila sehemu. You need to grow up.
Umenena vema ni makosa unapoarikwa kwenda na rafiki jamani mwaliko ni wako? mie nilidhani ni kwa akina dada tu kuwa na mashoga zao kumbe hata man unafanya hivyo, acha mara moja tabia haifai hiyo.
 
we jamaa kama huli utaliwa niamini mimi

siku nyingine beba na karata mtacheza mchezo wa kuoana
 
Umekaribishwa wewe unabeba na marafiki. Huu ushamba tutaacha lini?? Marafiki mnaongozana kila sehemu. You need to grow up.

Hii tabia mara nyingi wanayo watoto wa kike sijui msela nae kaicopy huko yakualikwa mahali afu unaenda na rafikio.... Tabia ya kishenzi sana
 
anenayo mtu ndiyo yaliyoujaza moyo wake .....wewe unawaza gegedo tuuuuuu
 
kwan hadi wanaume huwa mnabebana kwenda kwa gal kama tunavyofanyaga sie??? hahahhaah....
 
Back
Top Bottom