Nimekaribishwa chumbani kwa demu

Nimekaribishwa chumbani kwa demu

FD,
Exactly! this is going Nungwi type............

Mtoa mada, alijaribu kujustify nguvu ya JM ndani ya CCM na baadaye kudadisi kama anayaona na kama anaweza kuingilia kati suala la umeme PERIOD.

hayo ni maoni ya mtoa mada, na haimaanishi JM kuwa mhusika mkuu hapa na kulaumiwa..........

Lol aisee unachezea shilingi chooni nafasi za wawili izo ata kulia ningelia mradi Nile mzigo dem akinikalibisha kwake ni siku ya kwanza utakiwi kwenda na mtu ni we na ye tuu apo ndo unapoitwa mpira Dakika TISINI NI KUCHEZA NA SAIKOLOJIA TUU MPAKA UNAKULA MZIGO..... KWA KUWA UMEPITEZA NAFASI NI PM NAMBA YAKE NA JINA TUU... MENGINE NITAJUA
 
Hata siwezi kukupa namba yake. Nitamrekebisha jeuri yake
 
Umepewa mwaliko ushaanza kuweweseka kijana tuliza kichwa na wewe ikiwezekana inabidi utoe mwaliko ili aje aone getto lako msela
 
Embuu waambie...mtu kaweka bajet ya mtu mmoja ww unakuja na rafik. Tena mwngne anabeba kundi kabisa la marafiki

Utakuta hapo wameambizana, twende ukamuone mpenzi wangu.
 
Hii tabia mara nyingi wanayo watoto wa kike sijui msela nae kaicopy huko yakualikwa mahali afu unaenda na rafikio.... Tabia ya kishenzi sana

Sasa hivi tunavamiwa na kundi la wavulana
 
Back
Top Bottom