Nimekaribishwa chumbani kwa demu

Nimekaribishwa chumbani kwa demu

sa huyo rafik ako ulienda nae wann ulijua utaenda kutekwa au ni vip
 
Kuna demu mmoja nilishamuomba namba na sijawahi kumtongoza hata siku moja. Baada ya kuwasiliana mwanzoni txting na calling baadae akanipotezea (mademu hadi umtxt au umcall yeye). Nikadelete namba yake, nashangaa siku moja unknown calling kwa simu yangu. Nikarespond, sikuweza kumfaham akajitambulisha ila nikafix kuwa simu yangu huwa haioneshi majina kwa namba zinazoanza na 0.... bali +255.... akakubari na kusema no worry. Kanikarbisha kwake (ni single) nimekuta mazaga zaga mengi. Mayai, soda , maji , chips, kitanda dressed well, amedeki chumba. Ila nilienda na rafiki yangu na alionekana kutofurahi. Je alikuwa amejiandaa kwa mgegedo au ndio ukalimu wake? Hadi leo yupo quiet na mimi sijamtongoza..... ushauri jamani!!!!
suala la kama alikiwa amejiandaa au la muulize yeye ndo mwenye majibu ya uhakika
 
Umekaribishwa wewe unabeba na marafiki. Huu ushamba tutaacha lini?? Marafiki mnaongozana kila sehemu. You need to grow up.

Kampa hasara dada wa watu....
Kaandaa bajeti ya mmoja wameenda kumi na moja
 
kaka Matola, njoo umshauri na huyu mdogo wako hapa. Usichoke jamani, ndo wanajifunza
Kuna demu mmoja nilishamuomba namba na sijawahi kumtongoza hata siku moja. Baada ya kuwasiliana mwanzoni txting na calling baadae akanipotezea (mademu hadi umtxt au umcall yeye). Nikadelete namba yake, nashangaa siku moja unknown calling kwa simu yangu. Nikarespond, sikuweza kumfaham akajitambulisha ila nikafix kuwa simu yangu huwa haioneshi majina kwa namba zinazoanza na 0.... bali +255.... akakubari na kusema no worry. Kanikarbisha kwake (ni single) nimekuta mazaga zaga mengi. Mayai, soda , maji , chips, kitanda dressed well, amedeki chumba. Ila nilienda na rafiki yangu na alionekana kutofurahi. Je alikuwa amejiandaa kwa mgegedo au ndio ukalimu wake? Hadi leo yupo quiet na mimi sijamtongoza..... ushauri jamani!!!!
 
Last edited by a moderator:
hehehe hivi ndomu haifai kupiga hemming stitch ukaipunguza kwa style ya vunja mifupa?:A S 114::A S 114:
snowhite, njoo. I love you:mwaaah::mwaaah:

mi ndo maana huwa nashangaa kwanini ni free size wakati nanii zenyewe sio free size
zingekuwa extra large, large, medium, small na extra small ya thread owner
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom