Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,715
Umeona ee...Sasa wewe ndio umetoa solution
Hujawahi niangushaUmeona ee...
Simwachi sasamuache aolewe na mwenye dini yake ww tafuta wa dini yako mkuu
Kwanini mkuu, mimi nahisi ananipenda ila kikwazo mshua wake maana nimeshafanya naye kila kitu ila linapokuja suala la dini ndio mtihani.
Analala kwangu yaani pika pakua mkuuKila kitu nini
Inguinal Herniakwanza mmewe alifariki kwa ugonjwa gani?
Analala kwangu yaani pika pakuaHebu fafanua hapo kwenye kufanya naye kila kitu.
Analala kwangu yaani pika pakua



