Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,181
- 124,850
Na wewe kwako ntakuwa peke yangu? Tuanzie hapo kwanzaWivu sio uchoyo... ukiniahidi hili nitajitosa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe kwako ntakuwa peke yangu? Tuanzie hapo kwanzaWivu sio uchoyo... ukiniahidi hili nitajitosa
Mwenyezi Mungu akijalia
Hahaa we mwenyewe huwezi....kubali tu bwana bila mashartiMwenyezi Mungu akijalia
[emoji3][emoji3]
Nikitoka kuwanga au nikienda nakuachiawewe ulivo busy na kuwanga utalala na mimi saa ngapi?
ana hela ya baba wake we shauri yako fanya uchunguzi kama ni mrithi mgande
Kuna jambo ningekushauri, lakini seems u'r not serious
Nimemwambia aje kwangu anambwelambwela hajui supu za kuku wa kienyeji atazichoka yeyeMiss nimempata mtu mzima Aspirin humu humu jukwaani sijutii bundle zangu kuingia humu kwakweli
Na Jana niliona bulungutu la noti ulizopokea mkuuNimemwambia aje kwangu anambwelambwela hajui supu za kuku wa kienyeji atazichoka yeye
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu Miss Natafuta hayupo serious ! anafurahisha genge tu! relax
Na Jana niliona bulungutu la noti ulizopokea mkuu