MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,084
Kweli, Rudisha ile avatar bhana, kuna kabinti nilikaonaga malampaka 2008 kanafananayo
hahahha haya mkuu huenda ni kenyewe lol!
Kweli, Rudisha ile avatar bhana, kuna kabinti nilikaonaga malampaka 2008 kanafananayo
Unaonaa mbali saaaanSema unataka bwana unajizungusha mno namaneno
Swissme
Ni huyuhuyu aliyekuwa anadai maisha bila mwanaume yanasonga tu,na akawa anawashawishi wanawake wenzie wasiwe na mpango wa kuolewa.Huyu mwanamke post zake zinaonyesha yuko very stressed,
tatizo niko huku mpanda,
ningekuwa daslamu ningekusaidia maana unahangaika mno
sema mnaanza haraka sana banakuna madogo wana hela wewe acha.sema tu ile heshima unaona aibu kumvulia dogo nguo
MAGAZIJUTO imekataa formulaMtu Mnene
Hela hana
Anagongwa bure
Afu leo eti Form Four
Mungu wangu nimekupa na like
ndio kwani huku hakuna wanaume?namtaka huku?
Njoo inbox maana naona unapatwa na stress pasipo sababu.Haya mambo ya kusema nataka mwanamme mtu mzima aliechoka na maisha tutulie tuleane tule uzee kumbe hapa mjini hamna bwana utasubiri sana.
Watu wazima kwanza nguvu hawana, stress za magu, mara nyumba imebomolewa, mikopo, ndugu wanamtegemea etc, yaani wenyewe maisha yamewashinda wanatamani hata wajiuze sasa wewe unapomuambia tena akuongeze kwenye list ni majanga tu unaishia kuliwa kwa mkopo.
Sasa hapa mjini wanawake wameamua kuliko kuliwa kwa mkopo wanajichukulia viserengeti vyao wanawalea na maisha yanaenda, ila mungu anawaona aisee ila wafanyeje? Kuna dogo hapa jirani handsome kweli ngoja amalize form four keshokutwa niachane na ukapera mimi.
Siku njema wadau nawatakia na uzee mwema pia