KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,314
Subiri wenye dini yao waje.
ahaaa nyie wazee ni stress sana .hakuna asiependa vitu vibichi bnaMiss Natafuta mbona hujajibu maombi yangu? Mie japo ni mzee ila mzee wa kileo leo t-shirt na jeans ndio mapigo yangu
miss u ? upo? ushajiservia kiserengeti au una mzee?
sina stress mkuu. usinijudgeHuyu mwanamke post zake zinaonyesha yuko very stressed,
tatizo niko huku mpanda,
ningekuwa daslamu ningekusaidia maana unahangaika mno
Njoo kwangu utakacho takupahaya mambo ya kusema nataka mwanamme mtu mzima aliechoka na maisha tutulie tuleane tule uzee kumbe hapa mjini hamna bwana.utasubiri sana .watu wazima kwanza nguvu hawana ,stress za magu,mara nyumba imebomolewa, mikopo,ndugu wanamtegemea etc yaani wenyewe maisha yamewashinda wanatamani hata wajiuze .sasa wewe unapomuambia tena akuongeze kwenye list ni majanga tu unaishia kuliwa kwa mkopo .
sasa hapa mjini wanawake wameamua kuliko kuliwa kwa mkopo wanajichukulia viserengeti vyao wanawalea na maisha yanaenda,ila mungu anawaona aisee. ila wafanyeje?
kuna dogo hapa jirani handsome kweli ngoja amalize form four keshokutwa niachane na ukapera mimi.hata mtume nasikia aliolewa na mwanammke wa miaka 60 wakati ana miaka 18. sembuse mimi bado mbichi kabisa dogo anakuta flavour yote ya utamu aaagh!
siku njema wadau nawatakia na uzee mwema pia
ndo nishaamua kubadilika sasaKatika hali ya kawaida.....mtazamo wa watu juu yako unatokana na wewe unavyojiweka.......
Watu wanakutendea kutokana na uakisi wako juu yao........
Ni kama ambavyo mtu ambaye si changudoa....lakini wanamuona changudoa kwa jinsi watu wanavyomuona na jinsi anavyojionyesha kwao.......
Ukiona wanakutendea kwa namna ambayo wewe hufurahishwi nayo au unashangazwa nayo.....unatakiwa wewe ndio ujichunguze na ubadilike au ubadilishe mfumo wako wa maisha na watu...automatically watabadili mitazamo yao juu yako.....
Maua hayapo vile yalivyo ili yakuvutie bali yako vile yalivyo kwa kuwa ni uhalisia wake na watu wanavutiwa nayo na kuyahifadhi ndani.......
Unatakiwa wewe ndio uwavutie watu sio kwa kuenenda ili uwavutie bali kwa kuwa wewe kama ulivyo.........
WORD IS ENOUGH FOR THE WISE
wewe ulivo busy na kuwanga utalala na mimi saa ngapi?
mi nimemaliza mwaka jana tu shule embu njoo huku inboboo miss natafutahaya mambo ya kusema nataka mwanamme mtu mzima aliechoka na maisha tutulie tuleane tule uzee kumbe hapa mjini hamna bwana.utasubiri sana .watu wazima kwanza nguvu hawana ,stress za magu,mara nyumba imebomolewa, mikopo,ndugu wanamtegemea etc yaani wenyewe maisha yamewashinda wanatamani hata wajiuze .sasa wewe unapomuambia tena akuongeze kwenye list ni majanga tu unaishia kuliwa kwa mkopo .
sasa hapa mjini wanawake wameamua kuliko kuliwa kwa mkopo wanajichukulia viserengeti vyao wanawalea na maisha yanaenda,ila mungu anawaona aisee. ila wafanyeje?
kuna dogo hapa jirani handsome kweli ngoja amalize form four keshokutwa niachane na ukapera mimi.hata mtume nasikia aliolewa na mwanammke wa miaka 60 wakati ana miaka 18. sembuse mimi bado mbichi kabisa dogo anakuta flavour yote ya utamu aaagh!
siku njema wadau nawatakia na uzee mwema pia
dini ni yetu sote .bi hkadija aliolewa mzee sana .mtume alikuwa kijana mdogo sana wakati anamuoa .sio siri mkuu acha waje tuSubiri wenye dini yao waje.
Duuuuuh ngumu kumesaa jilie vyako mama[emoji23] [emoji23] [emoji23]haya mambo ya kusema nataka mwanamme mtu mzima aliechoka na maisha tutulie tuleane tule uzee kumbe hapa mjini hamna bwana.utasubiri sana .watu wazima kwanza nguvu hawana ,stress za magu,mara nyumba imebomolewa, mikopo,ndugu wanamtegemea etc yaani wenyewe maisha yamewashinda wanatamani hata wajiuze .sasa wewe unapomuambia tena akuongeze kwenye list ni majanga tu unaishia kuliwa kwa mkopo .
sasa hapa mjini wanawake wameamua kuliko kuliwa kwa mkopo wanajichukulia viserengeti vyao wanawalea na maisha yanaenda,ila mungu anawaona aisee. ila wafanyeje?
kuna dogo hapa jirani handsome kweli ngoja amalize form four keshokutwa niachane na ukapera mimi.hata mtume nasikia aliolewa na mwanammke wa miaka 60 wakati ana miaka 18. sembuse mimi bado mbichi kabisa dogo anakuta flavour yote ya utamu aaagh!
siku njema wadau nawatakia na uzee mwema pia
asante ahahaaaHu hu huu huu,,hongeraa
Miss u too mamaa. Kuna kiserengeti nakifukuzia hapa hakinielewi hatamiss u ? upo? ushajiservia kiserengeti au una mzee?
kuna madogo wana hela wewe acha.sema tu ile heshima unaona aibu kumvulia dogo nguoha haha umeamua kuhonga .. khe khe khe siwezi aisee
ongeza juhudi.kama kina rafiki yake naomba uniforwadieMiss u too mamaa. Kuna kiserengeti nakifukuzia hapa hakinielewi hata
Sent using Jamii Forums mobile app
ana hela ya baba wake we shauri yako fanya uchunguzi kama ni mrithi mgandekuna madogo wana hela wewe acha.sema tu ile heshima unaona aibu kumvulia dogo nguo