Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
- Thread starter
- #61
ahahaaa weee papuchi itapindaUtaweza mziki wa serenget boys wanywa mchuz wa pweza,..utapigwa mashine 3×3 kwa siku
ahahaaa weee papuchi itapindaUtaweza mziki wa serenget boys wanywa mchuz wa pweza,..utapigwa mashine 3×3 kwa siku
ndo maana nimeamua na mimi nijilipue mkuu si unaona bi mkubwa anakula maishaSishangai ommy dimpoz kuwa mshua wake domo
blame no body
Kwa hiyo Daby unataka kuwa peke yako? Itawezekana kweli...ila kama hilo ndo sharti lako nitajitahidiTatizo wewe huwa unanin'gata na kunipuliza...
Naona mafunzo ya unyagoni yalikukaa chungu hakipikiki kwa figa moja
Ngoja na mm nikae mkao wa kulando maana nimeamua na mimi nijilipue mkuu si unaona bi mkubwa anakula maisha
anione tuahahaaaa Mungu anakuona miss
Kabisa,Kwa hiyo Daby unataka kuwa peke yako? Itawezekana kweli...ila kama hilo ndo sharti lako nitajitahidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ana chura?
Acha uchoyo...hutaki hata wa kukusaidia?Kabisa,
Kama kila kitu unapata kwanini nisiwe mwenyewe au wewe unataka muwe Wengi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wewe ulivo busy na kuwanga utalala na mimi saa ngapi?
wewe ni mgeni humukasema yuko daslama?
oooh... nimesahau kuwa 99% ya members humu wanaishi Darwewe ni mgeni humu
Wivu sio uchoyo... ukiniahidi hili nitajitosa