Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,181
- 124,850
Kwa nini nisiwe victim wakati kila nikikueleza shida zangu hunielewi hata[emoji4] [emoji4]Poa Khantwe,
Are you also the piece of this cake! [Victim]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini nisiwe victim wakati kila nikikueleza shida zangu hunielewi hata[emoji4] [emoji4]Poa Khantwe,
Are you also the piece of this cake! [Victim]
this is true brother
Kipo hapa hata kwenye huu uzi wako kipo[emoji13] [emoji13]ongeza juhudi.kama kina rafiki yake naomba uniforwadie
kasema yuko daslama?Huyu mwanamke post zake zinaonyesha yuko very stressed,
tatizo niko huku mpanda,
ningekuwa daslamu ningekusaidia maana unahangaika mno
ahahaaaa Mungu anakuona missana hela ya baba wake we shauri yako fanya uchunguzi kama ni mrithi mgande
Tatizo wewe huwa unanin'gata na kunipuliza...Kwa nini nisiwe victim wakati kila nikikueleza shida zangu hunielewi hata[emoji4] [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
ngoja nichungulie au ni Daby ?Kwa nini nisiwe victim wakati kila nikikueleza shida zangu hunielewi hata[emoji4] [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Miss umenichekesha sanahaya mambo ya kusema nataka mwanamme mtu mzima aliechoka na maisha tutulie tuleane tule uzee kumbe hapa mjini hamna bwana.utasubiri sana .watu wazima kwanza nguvu hawana ,stress za magu,mara nyumba imebomolewa, mikopo,ndugu wanamtegemea etc yaani wenyewe maisha yamewashinda wanatamani hata wajiuze .sasa wewe unapomuambia tena akuongeze kwenye list ni majanga tu unaishia kuliwa kwa mkopo .
sasa hapa mjini wanawake wameamua kuliko kuliwa kwa mkopo wanajichukulia viserengeti vyao wanawalea na maisha yanaenda,ila mungu anawaona aisee. ila wafanyeje?
kuna dogo hapa jirani handsome kweli ngoja amalize form four keshokutwa niachane na ukapera mimi.hata mtume nasikia aliolewa na mwanammke wa miaka 60 wakati ana miaka 18. sembuse mimi bado mbichi kabisa dogo anakuta flavour yote ya utamu aaagh!
siku njema wadau nawatakia na uzee mwema pia
kweli maisha yenyewe mafupiYah siku hizi unafanya ile kitu roho inapenda mradi hulii cha mtu. Tafuta mbuga Yako uitunze Mwenyewe.
Kumbe uko mjini? Sasa na ubonge huu umpate nani? [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]haya mambo ya kusema nataka mwanamme mtu mzima aliechoka na maisha tutulie tuleane tule uzee kumbe hapa mjini hamna bwana.utasubiri sana .watu wazima kwanza nguvu hawana ,stress za magu,mara nyumba imebomolewa, mikopo,ndugu wanamtegemea etc yaani wenyewe maisha yamewashinda wanatamani hata wajiuze .sasa wewe unapomuambia tena akuongeze kwenye list ni majanga tu unaishia kuliwa kwa mkopo .
sasa hapa mjini wanawake wameamua kuliko kuliwa kwa mkopo wanajichukulia viserengeti vyao wanawalea na maisha yanaenda,ila mungu anawaona aisee. ila wafanyeje?
kuna dogo hapa jirani handsome kweli ngoja amalize form four keshokutwa niachane na ukapera mimi.hata mtume nasikia aliolewa na mwanammke wa miaka 60 wakati ana miaka 18. sembuse mimi bado mbichi kabisa dogo anakuta flavour yote ya utamu aaagh!
siku njema wadau nawatakia na uzee mwema pia
Kwani Miss unataka mume wa kuwa naye kimaisha ama unataka mume mwenye hela wa kuwa anakuhonga ili kusaidia kutatua shida za hapa na pale (though shida huwa haziishi duniani) au unataka mtu wa wewe kumlea?kuna madogo wana hela wewe acha.sema tu ile heshima unaona aibu kumvulia dogo nguo
Tupe mrejesho wa hizi nyuzi zako kwanza:haya mambo ya kusema nataka mwanamme mtu mzima aliechoka na maisha tutulie tuleane tule uzee kumbe hapa mjini hamna bwana.utasubiri sana .watu wazima kwanza nguvu hawana ,stress za magu,mara nyumba imebomolewa, mikopo,ndugu wanamtegemea etc yaani wenyewe maisha yamewashinda wanatamani hata wajiuze .sasa wewe unapomuambia tena akuongeze kwenye list ni majanga tu unaishia kuliwa kwa mkopo .
sasa hapa mjini wanawake wameamua kuliko kuliwa kwa mkopo wanajichukulia viserengeti vyao wanawalea na maisha yanaenda,ila mungu anawaona aisee. ila wafanyeje?
kuna dogo hapa jirani handsome kweli ngoja amalize form four keshokutwa niachane na ukapera mimi.hata mtume nasikia aliolewa na mwanammke wa miaka 60 wakati ana miaka 18. sembuse mimi bado mbichi kabisa dogo anakuta flavour yote ya utamu aaagh!
siku njema wadau nawatakia na uzee mwema pia
mume ni wa kuwa nae kimaisha bwana .nataka mtu wa kuishi nae kwa shida na raha hivo tu.hela si zinatafutwa tu jamani?Kwani Miss unataka mume wa kuwa naye kimaisha ama unataka mume mwenye hela wa kuwa anakuhonga ili kusaidia kutatua shida za hapa na pale (though shida huwa haziishi duniani) au unataka mtu wa wewe kumlea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda atafute katoto kalikozaliwa leo akafungie ndani mpaka kawe kakubwa ndo atakua hali cha mtu, maskini naona kasichana ka form 2, katakavyopigwa chini baada ya kajamaa kuchukuliwa na Miss mtafutaji. Ila hii Id yako bhana.Yah siku hizi unafanya ile kitu roho inapenda mradi hulii cha mtu. Tafuta mbuga Yako uitunze Mwenyewe.
baba watoto sikupata,