Nimejitolea kufundisha video production bure mtandaoni

Feb 4, 2019
20
45
Kama ulikuwa na ndoto au unapenda kujua au kuongeza ujuzi wa Video production, basi ninadarasa YouTube unaweza kuandika Director Chuma utanipata.

Ninafundsha kiundani sana na kwa mifano. Lengo ni kusaidia wahitaji kwanza kabla ya yote
natamani siku 1 Tanzania tupige hatua zaidi katika video production na ikiwezekana tushike namba 1 Africa kwa uzalishaji mzuri wa video.

Tunaweza lakini ni lazima tusiwe wachoyo na wavivu kujifunza. Mimi nimeanza kujitolea kimtindo huu naombeni support yenu mimi nimethubutu na sio kwamba nmekosa kazi ya kufanya bali napenda kusaidia wengine.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Feb 4, 2019
20
45
Ume-produce/Direct video, makala etc. Zipi?
Unaweza kuangalia my latest project Merry Christmas by Walter Chilambo

Nimedirect, shoot, edit pamoja na final post na kuandika script
Nafikiri unaweza pata picha uwezo wangu kupitia hiyo

Na kwa uapende wa movie tafuta YouTube movie yangu ya mwsho kushiriki inaitwa MTALI CHUMA ambayo iliwania pia tuzo za Sziff mwaka jana
Nimeshiriki kama Director of Photography, Editor na Story Developer

Kwa upande wa makala nmeshoot baadhi ya Documentary za miradi ya umoja wa mataita hapa nchini

Kazi zangu nyingne mtazifahamu kupitia vipindi vijavyo nitazitumia kama references

Karibu sana kaka

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
isajorsergio

Platinum Member
Apr 22, 2018
2,915
2,000

Safi sana hapo unaweza kufundisha na kusaidia vijana na industry kwa ujumla.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom