Nimejiingiza matatani na dawa ya kikongo

paka chongo

JF-Expert Member
Feb 27, 2016
248
193
Huku kuigaiga kumenitokea puani, ila ningejua mapema aisee ningechukua unga wa kutosha.

Imepita kama wiki mbili nipo kazini bandari nikakutana na mshikaji kaja kupakia. Zikaanza story za hapa na pale mwisho akanipa vumbi la Kongo nikiwa na dhumuni la kulitumia kwa mchepuko.

Kufika home nikasema nijaribu kwa wife. Dah msala ndo umeanzia hapo, yeye amenizoea bao zangu mbili ya tatu ya kupepea. Siku hiyo masaa yanakatika bado nipo juu ya kifua, kuja kumaliza mbona nilipewa misifa.

Sasa mtiti upo hapa, kila siku naambiwa fanya kama siku ile na imeshakuwa tabu jamani kwa paka chongo.
 
hayo ndo madhara ya kuwa bandia hadi kitandan ole usmtekelezee hcho anachotaka lazima ujiandae kuchapiwa tu.
 
Mi ninaona nyingine ni hadithi tu, mpaka mmeoana mkeo alikua hafahamu uwezo wako? Fanya mazoezi kuongeza nguvu, kula vitu organic korosho na karanga mbichi. Punguza pombe, utarudisha nguvu.
 
Inaitwa puturu hiyo dawa hila kwa wenye ndoa haifai kuna mtu kakosa kulala na mkewe wiki 2 baada ya kumjeruhi maeneo.

Dunia jamani imefikia African man ambae anaaminika world wide kwa shehena na uwezo sasa hivi anategemea puturu.
 
Nakusihi paka chongo
Usiendekeze dawa za kikongo
Utateguka mgongo
Jua halisi yashinda uongo
Jaribu kutumia ubongo
Kupakomoa ulipotokea hizo ni longolongo
Kalamu naweka chini nisije toka kibyongo
Usia wangu chukua ewe ndugu paka chongo.
 
mkuu usizoee kutumia dawa aina yyte ili ujibusti. Ukizoea kutumia sana mwili unakuwa hauna uwezo mpaka utupie hiyo kitu. Mwisho wa siku utagongewa tu. Acha hiyo midawa tumia nguv zako za asili
 
Back
Top Bottom