Nimejiingiza matatani na dawa ya kikongo

Nimejiingiza matatani na dawa ya kikongo

Hivi watanzania mnafanya mapenzi au ni mazoezi bao NNE za nini??? Au ni zile za sungura maana Mimi bao moja nahitaji between 15-30 min lapili btw 45 - 60 min.
 
Nakusihi paka chongo
Usiendekeze dawa za kikongo
Utateguka mgongo
Jua halisi yashinda uongo
Jaribu kutumia ubongo
Kupakomoa ulipotokea hizo ni longolongo
Kalamu naweka chini nisije toka kibyongo
Usia wangu chukua ewe ndugu paka chongo.
Nimeupenda huu utenzi
 
Ushauri twatoa kwa ndugu yetu paka
Ulijiona mahiri ulivyo pandisha mzuka
Mkeo kaburudika
Na mara nyingi kileleni kafika
Ukajiona kidume hakuna wakumithilika
Kumbe janja yako puturu
Mwili wako kujidhuru
Mwambie mkeo ukweli utakuweka huru
 
Hivi watanzania mnafanya mapenzi au ni mazoezi bao NNE za nini??? Au ni zile za sungura maana Mimi bao moja nahitaji between 15-30 min lapili btw 45 - 60 min.
Kwahiyo ukianza hilo la pili MTU akiwa kigamboni hadi anafika kimbiji hujashuka?
 
utagusiwa mkuu , wamaasai wote waganga wa kienyeji na bado wanachapiwa , hizo imani tu na ikiwa kwl basi ipo siku utanunua ukimwi kwa bei ya unga wa kikongo
OVER
 
Hivi watanzania mnafanya mapenzi au ni mazoezi bao NNE za nini??? Au ni zile za sungura maana Mimi bao moja nahitaji between 15-30 min lapili btw 45 - 60 min.
Mie mwenyewe nashangaa mtu anasema anapiga bao 6, najiuliza hizo 6 anatumia dakika ngapi ngapi?
Maana wengine cha kwanza 20-30m cha pili si chini ya 60m, sasa ukisema uongeze cha tatu mnaishia kukimbizana maana mpaka jasho la mbavu changa linatililika ka maji lkn wazungu hawapandi ndege
 
Huku kuigaiga kumenitokea puani, ila ningejua mapema aisee ningechukua unga wa kutosha.

Imepita kama wiki mbili nipo kazini bandari nikakutana na mshikaji kaja kupakia. Zikaanza story za hapa na pale mwisho akanipa vumbi la Kongo nikiwa na dhumuni la kulitumia kwa mchepuko.

Kufika home nikasema nijaribu kwa wife. Dah msala ndo umeanzia hapo, yeye amenizoea bao zangu mbili ya tatu ya kupepea. Siku hiyo masaa yanakatika bado nipo juu ya kifua, kuja kumaliza mbona nilipewa misifa.

Sasa mtiti upo hapa, kila siku naambiwa fanya kama siku ile na imeshakuwa tabu jamani kwa paka chongo.
ulibeep eeh??? sasa endelea kupima unga zaidi wa congo
 
mkuu usizoee kutumia dawa aina yyte ili ujibusti. Ukizoea kutumia sana mwili unakuwa hauna uwezo mpaka utupie hiyo kitu. Mwisho wa siku utagongewa tu. Acha hiyo midawa tumia nguv zako za asili
Atume Nguvu zake ZA asili au ZA kienyeji?
 
Back
Top Bottom