Nimejiingiza matatani na dawa ya kikongo

hahaaaaaaaa hapo kwenye kupepea sasa ni noma
mwambie tu ilitokea bahati mbaya
 
Kweli wanaume wa Dar mna tabu hasaa.

Na baada ya miaka miwili-mitatu hayo Madhara ya puturu...Mtakoma wenyewe.
 
Huku kuigaiga kumenitokea puani, ila ningejua mapema aisee ningechukua unga wa kutosha.

Imepita kama wiki mbili nipo kazini bandari nikakutana na mshikaji kaja kupakia. Zikaanza story za hapa na pale mwisho akanipa vumbi la Kongo nikiwa na dhumuni la kulitumia kwa mchepuko.

Kufika home nikasema nijaribu kwa wife. Dah msala ndo umeanzia hapo, yeye amenizoea bao zangu mbili ya tatu ya kupepea. Siku hiyo masaa yanakatika bado nipo juu ya kifua, kuja kumaliza mbona nilipewa misifa.

Sasa mtiti upo hapa, kila siku naambiwa fanya kama siku ile na imeshakuwa tabu jamani kwa paka chongo.
Sasa subiri kugongewaaaaaaaaa mpaka uonekane kha....si au vipi? maana umemfungulia mbwa aende nje kuzurura.
 
Huku kuigaiga kumenitokea puani, ila ningejua mapema aisee ningechukua unga wa kutosha.

Imepita kama wiki mbili nipo kazini bandari nikakutana na mshikaji kaja kupakia. Zikaanza story za hapa na pale mwisho akanipa vumbi la Kongo nikiwa na dhumuni la kulitumia kwa mchepuko.

Kufika home nikasema nijaribu kwa wife. Dah msala ndo umeanzia hapo, yeye amenizoea bao zangu mbili ya tatu ya kupepea. Siku hiyo masaa yanakatika bado nipo juu ya kifua, kuja kumaliza mbona nilipewa misifa.

Sasa mtiti upo hapa, kila siku naambiwa fanya kama siku ile na imeshakuwa tabu jamani kwa paka chongo.
Haaaaaa [emoji23] [emoji23]
 
Ukishajifanya tegemezi kwa kitu fulani, ni utumwa!!
 
HIZO DAWA WANATUMIA SANA WAKONGO,NDIO MAANA HAPA BONGO WAKONGO WAMEWEKWA VING'ASTI WA WAMAMA WAKIJUA WANANGUVU ASILIA KUMBE WANATUMIDA DAWA
 
Mi ninaona nyingine ni hadithi tu, mpaka mmeoana mkeo alikua hafahamu uwezo wako? Fanya mazoezi kuongeza nguvu, kula vitu organic korosho na karanga mbichi. Punguza pombe, utarudisha nguvu.
Kuna pombe zingine zinahamasisha
 
Nimecheka sana, eti "fanya kama siku ile". Inawezekana mkeo anakuvumilia tu, kama hana maadili hakika hiyo ni mboga ya wenzako.
 
Tumia nguvu zako halisi, lkn pia epuka kugegeda gegeda hovyo.
 
Kwani kuna raha gani kukaa kifuani Masaa yote hayo, wewe piga round zako 6 kwa dakika tano tano utaheshimika tu kama Mimi. Kukaa kifuani mda mrefu kuchoshana, ile ni starehe sio adhabu.
 
Back
Top Bottom